Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Kwaio mnataka mlazimishe tuseme tunawagonjwa laki mbil ili muone Raha mbona hata NCH zingine zote za Africa hazina idad kubwa pia tofaut na SA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhakika wa sisi kua safe upo mkubwa sana, heka heka za vifo zinazotkana na Covid19 ni kama hakuna...



Cc: mahondaw
Huu ugonjwa ndivyo ulivyo. Hata Trump alisema ni mpango feki wa Democrats ili kumhujumu. Sasa anajuta. Ni kitu gani kinachokufanya uone kuwa uko safe sana? Heka heka za vifo hazianzi kwa siku moja.
Pili, siyo wote wagonjwa wamepimwa. Kuna taarifa za vifo ambavyo vinasadikiwa kusababishwa na corona. Kipimo ni kimoja tu Taifa zima. Subiri kama mwezi hivi au miezi miwili ndo uongee haya.
 
Utaratibu wa karantini si ukae ulipo?
Watoke huku kwenye maambukizi kidogo
Waende kwenye maambukizi makubwa?
Ina make sense?
Hata kama nchi yetu ya mwisho Kwa huduma za afya ..bado kwangu hai make sense.. unless.kwao kungekuwa hakuna maambukizi
Marekani ni kubwa, kuna sehemu nyingi hakuna maambukizi kabisa.

Na watu wengine wanaona tatizo si kufa, tatizo ni kufa mbali na nyumbani kwao.

Zaidi, hii habari hailazimishi, inatahadharisha kwamba ndege zinaacha kutoa huduma.

Kuna siku nilikuwa ubalozi wa Marekani, nikaona Wameweka kibao kinapiga marufuku raia kwenda kuomba hela ubalozini.

Sasa pengine wanawaandaa raia warudi nyumbani ili wasije kuwa stuck Bongo na hawana sehemu ya kwenda.
 
Point [emoji109][emoji109][emoji109]
 
Unajua ni kwanini raia hao hawataki kurudi nyumbani kuungana na familia zao?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wako mkuu, corona haiwezi kuua mtu Afrika
 

Unaweza ficha wagonjwa elf 80?
Gonjwa halifichi nani alikwambia linafichwa? sema labda kama unataka kulazimisha data zako mwenyewe ama huyo mmarekani anataka data zake mwenyewe.

Wangekuwa wanaficha hospitali sahivi zingekuwa zimejaa mpaka zimetema wagonjwa wanalala nje.
 
Bora kubakia tz kuliko amerika ya trump. Maana anajidai tu huku ugonjwa unasambaa kwa kasi na kuua watu kwa mwendo kasi.
 
Nina mashaka na data za maambukizi na vifo vya Corona, figisu figisu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekwisha pima tayari ili wachukue data yako mkuu? Unataka apimwe nani, unavojiskia vzuri wewe ndivyo hivyo na wenzako wanavyo jisikia, ndio maana data zinabakia hivyo, unataka data zitoke wapi?
 

mkuu umenena vyemA sanA applicationa ambazo wanazitumia kwenye nchi zao tz haziapply kabisa

pili hlo tatzo la cover ya ugonjwa ni janja tu ila walikuwa na sabb zao tu wala c ugonjwa... ukitazama taarifa yao(kama mkarimani ametafsri vyema) tangazo ni kal kuliko hali yenyewe...

may b US haiamini uwepo wa Mungu hvyo wanaona rais kutumia njia ya kuwaambia wananchi waendelee kuabudu kwao ni kukiuka Haki za binadamu.. au walikuwa na lundo la mambo huko nguma walikuwa wanatafutA kichaka..
 
Hii ndio sababu kuu. Hawataki lawama kwanini hawakusaidia raia wao. Si Tanzania tu,washawaambia raia wao wote wakiweza warudi nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…