Una ventilators ngapi mahospital yako yote nchini!!!!Kwani kwetu huwezi kupata maji ya moto ukaweka kipande cha limau ukanywa au ukala machungwa kwa wingi,sema wenzetu ni wavivu wa kula matunda!!!!
Kweli wanajitambua kama mpaka sasa hivi wameshakufa zaidi ya 1,000 kwa hiyo corona!! Watz tuko salama salimini tunachapa kazi tu.
Hahaha duKwani kwetu huwezi kupata maji ya moto ukaweka kipande cha limau ukanywa au ukala machungwa kwa wingi,sema wenzetu ni wavivu wa kula matunda!!!!
Nakumbuka ulituambia corona hapa nchini haiambukizi, hawa uoga wao unatoka wapi tena wakati wapo safe place zaidi ya huko MarekaniDuh...!
P
Swali lako limelenga nini ?
Za nini hizo ventilators kwani unafikiri kila mgonjwa wa corona lazima awekwe kwenye ventilator? Huo ni ugonjwa wa weupe mkuu sisi ugonjwa wetu ni Ebola ukimwi malaria kipindupundu nk. Siyo corona kwa sababu ya kushindwa kuna mikono!
Upumbavu wao ni nini????
Sent from my iPhone using JamiiForums
Anataka ajue kama mwenyekiti ametoka karantiniSwali lako limelenga nini ?
Ile sio Corona. Ni Carina. Ha ha ha haYani who,dunia inatangaza kila siku halafu anatokea mtu mmoja kutoka Tanzania anakubali Corona haipo Marekani,acheni kusujudia watu kila saa kwenye kila kitu mzee,tuliza akili.
Au taarifa zinazotolewa na Trump mwenyewe kuhusu hali ya Corona nchini mwake huwa hauzisikii,basu tufanye ile siyo Corona bali ni homa ya Dengue
Mimi nilizungumzia Marekani tu ambao wanataka kuwaondoa raia wao. Hayo ya kuvunja uhusiano na 'mabeberu' wengine ni mawazo yako. Marekani haijawataka raia wao waondoke Uchina, au Italia, au Hispania, ambako ugonjwa umekithiri. Inataka raia wake waondoke Tanzania, eti kwa sababu ya corona! Huo ni uchuro. Tuwarahisishie kutimiza hiyo haja yao. Hao 'mabeberu' wengine hatuna ugomvi nao mpaka watakapotaja kauli zenye utata kama ile ya Marekani.Serikali iwaondoe mabalozi wote wa ulaya na watumishi wao. Balozi zote zifungwe rasmi. Tuvunje mahusiano nao hao mabeberu
Sent using Fly in any Weather.
Kinacho nifurahisha ni kwamba huu ugonjwa umeenda kupiga hadi Pentagon kabisa.Yani who,dunia inatangaza kila siku halafu anatokea mtu mmoja kutoka Tanzania anakubali Corona haipo Marekani,acheni kusujudia watu kila saa kwenye kila kitu mzee,tuliza akili.
Au taarifa zinazotolewa na Trump mwenyewe kuhusu hali ya Corona nchini mwake huwa hauzisikii,basu tufanye ile siyo Corona bali ni homa ya Dengue
Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako ndugu! Fuatilia kwnye vyombo vya kimataifa na mitandao ya kijamii kujua mwenendo wa janga la corona.huu ni uthibitisho tosha kuwa corona marekani haipo, au uenda kuendelea kubaki tanzania ni hatari zaidi ya kuwa na ugonjwa huu ukiwa united state of american
Kumbuka, USA in muunganiko wa States 51, so 1000 linganisha na ukubwa was hizo states na population.Corona haipo Marekani?? Are serious mkuu? Mpaka sasa wameipiku China kwa visa vingi.
Na kuna vifo zaidi ya 1000 wewe unasema corona haipo Marekani, au ndo wazee wa conspiracy theories.
Sent using Jamii Forums mobile app
hata ungekua ww utabak katika nchi hii ya mficha maradhi??
Subirini tutakavyoanza kudondoka kama kuku wa kideli
pole mkuu