Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Una ventilators ngapi mahospital yako yote nchini!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Za nini hizo ventilators kwani unafikiri kila mgonjwa wa corona lazima awekwe kwenye ventilator? Huo ni ugonjwa wa weupe mkuu sisi ugonjwa wetu ni Ebola ukimwi malaria kipindupundu nk. Siyo corona kwa sababu ya kushindwa kuna mikono!
 
Yani who,dunia inatangaza kila siku halafu anatokea mtu mmoja kutoka Tanzania anakubali Corona haipo Marekani,acheni kusujudia watu kila saa kwenye kila kitu mzee,tuliza akili.
Au taarifa zinazotolewa na Trump mwenyewe kuhusu hali ya Corona nchini mwake huwa hauzisikii,basu tufanye ile siyo Corona bali ni homa ya Dengue
Ile sio Corona. Ni Carina. Ha ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali iwaondoe mabalozi wote wa ulaya na watumishi wao. Balozi zote zifungwe rasmi. Tuvunje mahusiano nao hao mabeberu

Sent using Fly in any Weather.
Mimi nilizungumzia Marekani tu ambao wanataka kuwaondoa raia wao. Hayo ya kuvunja uhusiano na 'mabeberu' wengine ni mawazo yako. Marekani haijawataka raia wao waondoke Uchina, au Italia, au Hispania, ambako ugonjwa umekithiri. Inataka raia wake waondoke Tanzania, eti kwa sababu ya corona! Huo ni uchuro. Tuwarahisishie kutimiza hiyo haja yao. Hao 'mabeberu' wengine hatuna ugomvi nao mpaka watakapotaja kauli zenye utata kama ile ya Marekani.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].yaani unachukua Maji ya bombani unaenda kuyamwaga baharini..
Sasa sisi na marekani wenye corona kubwa ni nani?

Sidhani kama kuna mmarekani anayetaka kurudi kwao.maana wana wagonjwa zaidi ya 80,000.
sisi tuna wagonjwa 13.Vifo 0.

Huyo mmarekani atakayetaka arudi kwao labda ana mapungufu ya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani who,dunia inatangaza kila siku halafu anatokea mtu mmoja kutoka Tanzania anakubali Corona haipo Marekani,acheni kusujudia watu kila saa kwenye kila kitu mzee,tuliza akili.
Au taarifa zinazotolewa na Trump mwenyewe kuhusu hali ya Corona nchini mwake huwa hauzisikii,basu tufanye ile siyo Corona bali ni homa ya Dengue
Kinacho nifurahisha ni kwamba huu ugonjwa umeenda kupiga hadi Pentagon kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu ni uthibitisho tosha kuwa corona marekani haipo, au uenda kuendelea kubaki tanzania ni hatari zaidi ya kuwa na ugonjwa huu ukiwa united state of american
Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako ndugu! Fuatilia kwnye vyombo vya kimataifa na mitandao ya kijamii kujua mwenendo wa janga la corona.

Huko utagundua kuwa Marekani ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watu walioambikizwa virusi vya COVID 19 duniani!.
 
Corona haipo Marekani?? Are serious mkuu? Mpaka sasa wameipiku China kwa visa vingi.

Na kuna vifo zaidi ya 1000 wewe unasema corona haipo Marekani, au ndo wazee wa conspiracy theories.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka, USA in muunganiko wa States 51, so 1000 linganisha na ukubwa was hizo states na population.
 
Corona HAITUMII NGUVU KUONEKANA kama mimba vile itaonekana TU.
Hata Hao waitaliano na Spain ingekuwa rahisi kuificha corona NA WAO WANGEIFICHA.
ila corona HAIFICHIKI.

Huko unapotaka tufike tufe kama kuku wenye kibeli USIJALI TUTAFIKA TU.
ila kwa sasa BADO.

HUO NDO UKWELI.
hata ungekua ww utabak katika nchi hii ya mficha maradhi??

Subirini tutakavyoanza kudondoka kama kuku wa kideli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom