Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Kwani kwetu huwezi kupata maji ya moto ukaweka kipande cha limau ukanywa au ukala machungwa kwa wingi,sema wenzetu ni wavivu wa kula matunda!!!!
Mvivu wa kula matunda ni mzungu au umemaanisha nini labda?
 
Wamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.

Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Eti Medical System is very poor? Are you seious? Poor ukilinganisha na nani? Unaifahamu medical system ya US wewe? Ningekuelewa kama ungesema tuna vifaa duni vya afya lakini siyo system yetu ya matibabu. US wana very poor medical system kwa raia wao, wanachotuzidi wao ni vifaa tu na siyo utaratibu wa kupata matibabu.

Kabla mtu hujatukana, hujakejeli au hata kuidharau nchi yako, jaribu kwanza kufanya research ndogo tu ukaona taifa lako limefanya nini katika afya. USA sio taifa bora katika kila kitu. Policy ya afya ya USA ni mbovu, si kila raia ana accesses ya kupata medical services. Na pia medical services zao ni ghali.

Picha hii hapa chini inaonesha namna gani huduma za afya zinapatikana katika kila nchi katika kigezo kinachoitwa Universal Health Care (Universal healthcare (also called universal health coverage, universal coverage, or universal care) is a health care system in which all residents of a particular country or region are assured access to health care. Through government initiatives, regulation, and taxation, many countries around the world offer health care to more than 90% of their citizens. Not only does this provide most citizens with health care, but the governments of each country also regulate the health care system to ensure that the care given is sufficient and that taking advantage of this care does not provide a financial hardship to citizens. In some cases, health care through universal health care programs is free or very low cost to all citizens, regardless of their income.)

1920px-Universal_Healthcare_by_Country_20191229.svg.png

description.png
 
Kwani kwetu huwezi kupata maji ya moto ukaweka kipande cha limau ukanywa au ukala machungwa kwa wingi,sema wenzetu ni wavivu wa kula matunda!!!!
Ni wavivu wa kula matunda? Tuwalazimishe basi wale matunda lakini wasiondoke.
 
Mvivu wa kula matunda ni mzungu au umenmqanisha nn labda
Anyway inategemea kwa hapa Tanzania unaishi sehemu ipi, sisi wa vijijini matunda ni mengi shambani na ndio hayo wakati mwingine tunashindia!!
 
Hivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.

Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Huko Marekani waliko serious na watu wao mbona maambukizi yanaongezeka kila siku? Na mbona idadi ya vifo inaongezeka kila siku? Mnakimbilia kusema inadanganya data, haya nyie wenye data za ukweli tuleteeni hapa tuzione. Kwani ni Tanzania pekee yenye wagonjwa wachache hadi ionekane ni kitu cha ajabu? Mbona zipo nchi nyingi tu zenye wagonjwa wachache.
 
Habari zinazotolewa na Marekani huwa tunaita Western propaganda

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa. Mtu akili yake imefungwa kiasi kwamba anathubutu kusema Marekani hakuna corona!! Kauli za Marekani zinatolewa kukidhi maslahi yao fulani tu. Jee, kuna yo yote aliyesikia balozi za Marekani nchini Uchina au Italia zikisema raia wake waondoke huko? Tanzania iko chini sana kwenye orodha ya nchi zilizoathirika na ugonjwa huu. Sasa iweje ndiyo iwe nchi ya kwanza kutajwa kujihami na ugonjwa kama siyo sababu nyingine wanazozifahamu wenyewe
tu.
 
Huko Marekani waliko serious na watu wao mbona maambukizi yanaongezeka kila siku? Na mbona idadi ya vifo inaongezeka kila siku? Mnakimbilia kusema inadanganya data, haya nyie wenye data za ukweli tuleteeni hapa tuzione. Kwani ni Tanzania pekee yenye wagonjwa wachache hadi ionekane ni kitu cha ajabu? Mbona zipo nchi nyingi tu zenye wagonjwa wachache.
Hujaelewa bado. Tulia watu wanakuona ni kichekesho.
Tuliza akili kwanza uelewe. Hushangai watu wanakushangaa kabisa mpwa?
 
akili zingine za kijinga sana. Marekani haisemi kwamba kwao hakuna Corona. Wanachosema watu wao warudi kwao ambako itakuwa rahisi kuwahudumia.

wanaogopa mipaka ikifungwa na hali ikawa mbaya kwao wakiwa Tanzania itakuwa mgumu kuwasaidia.

wakati wa majanga unataka familia yako irudi nyumbani kwako ambako unaweza kuwasaidia.

Hivyo ndivyo nchi zinazojali watu wake hufanya.
Hivi ndivyo nchi zinazojali watu wake hufanya. Ajabu logic hii wengi hawajaiona.
 
huu ni uthibitisho tosha kuwa corona marekani haipo, au uenda kuendelea kubaki tanzania ni hatari zaidi ya kuwa na ugonjwa huu ukiwa united state of american
Ukisema Corona haipo marekani utakuwa ni kichaa.. Majimbo yako lockdown hakuna mtu kutoka unafikiri kuna rais gani kichaa angekubali hii hali..

Workforce yote imejifungia uchumi umestack shughuli zote za kimaendeleo na kijamii zimesimama halafu unasema Marekani hakuna Covid-19.

Taarifa hiyo ni lazima kwa balozi wa nchi zinazojua kazi zao kuzitoa, transparency/openness kwao ni kitu cha muhimu kwani wana wajibu kwa maisha ya RAIA wa kimarekani waishio TZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom