unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kasema siyo ya kawaida, read between the lines.Yani. English tatizo au. By the way Siasa kwao ndo nyumbani Labda kama husikilizi News. Usipende sana kuleta Shida zako za kisiasa kila mahali. Hiyo barua Ni ya kawaida sana kwa kuwa wanatimiza wajibu wao Kwa wananchi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mvivu wa kula matunda ni mzungu au umemaanisha nini labda?Kwani kwetu huwezi kupata maji ya moto ukaweka kipande cha limau ukanywa au ukala machungwa kwa wingi,sema wenzetu ni wavivu wa kula matunda!!!!
Eti Medical System is very poor? Are you seious? Poor ukilinganisha na nani? Unaifahamu medical system ya US wewe? Ningekuelewa kama ungesema tuna vifaa duni vya afya lakini siyo system yetu ya matibabu. US wana very poor medical system kwa raia wao, wanachotuzidi wao ni vifaa tu na siyo utaratibu wa kupata matibabu.Wamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.
Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu watu wakisiakia neno US basi wanajikuta wanasifia tu hata ujinga. Bora umemuwekea data.
Ni wavivu wa kula matunda? Tuwalazimishe basi wale matunda lakini wasiondoke.Kwani kwetu huwezi kupata maji ya moto ukaweka kipande cha limau ukanywa au ukala machungwa kwa wingi,sema wenzetu ni wavivu wa kula matunda!!!!
No US ndio inaongoza kwa sasa kwa kuwa na reported cases nyingi zaidi duniani ikifuatiwa kwa karibu na Italy. Yaani mie nafikiri hii shida ni kubwa sana
Anyway inategemea kwa hapa Tanzania unaishi sehemu ipi, sisi wa vijijini matunda ni mengi shambani na ndio hayo wakati mwingine tunashindia!!Mvivu wa kula matunda ni mzungu au umenmqanisha nn labda
Huko Marekani waliko serious na watu wao mbona maambukizi yanaongezeka kila siku? Na mbona idadi ya vifo inaongezeka kila siku? Mnakimbilia kusema inadanganya data, haya nyie wenye data za ukweli tuleteeni hapa tuzione. Kwani ni Tanzania pekee yenye wagonjwa wachache hadi ionekane ni kitu cha ajabu? Mbona zipo nchi nyingi tu zenye wagonjwa wachache.Hivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.
Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Kwahiyo hiyo ndio tiba ya corona?Kwani kwetu huwezi kupata maji ya moto ukaweka kipande cha limau ukanywa au ukala machungwa kwa wingi,sema wenzetu ni wavivu wa kula matunda!!!!
Kwahiyo hiyo ndio tiba ya corona?Kwani kwetu huwezi kupata maji ya moto ukaweka kipande cha limau ukanywa au ukala machungwa kwa wingi,sema wenzetu ni wavivu wa kula matunda!!!!
Kweli kabisa. Mtu akili yake imefungwa kiasi kwamba anathubutu kusema Marekani hakuna corona!! Kauli za Marekani zinatolewa kukidhi maslahi yao fulani tu. Jee, kuna yo yote aliyesikia balozi za Marekani nchini Uchina au Italia zikisema raia wake waondoke huko? Tanzania iko chini sana kwenye orodha ya nchi zilizoathirika na ugonjwa huu. Sasa iweje ndiyo iwe nchi ya kwanza kutajwa kujihami na ugonjwa kama siyo sababu nyingine wanazozifahamu wenyewe
Hujaelewa bado. Tulia watu wanakuona ni kichekesho.Huko Marekani waliko serious na watu wao mbona maambukizi yanaongezeka kila siku? Na mbona idadi ya vifo inaongezeka kila siku? Mnakimbilia kusema inadanganya data, haya nyie wenye data za ukweli tuleteeni hapa tuzione. Kwani ni Tanzania pekee yenye wagonjwa wachache hadi ionekane ni kitu cha ajabu? Mbona zipo nchi nyingi tu zenye wagonjwa wachache.
Hivi ndivyo nchi zinazojali watu wake hufanya. Ajabu logic hii wengi hawajaiona.akili zingine za kijinga sana. Marekani haisemi kwamba kwao hakuna Corona. Wanachosema watu wao warudi kwao ambako itakuwa rahisi kuwahudumia.
wanaogopa mipaka ikifungwa na hali ikawa mbaya kwao wakiwa Tanzania itakuwa mgumu kuwasaidia.
wakati wa majanga unataka familia yako irudi nyumbani kwako ambako unaweza kuwasaidia.
Hivyo ndivyo nchi zinazojali watu wake hufanya.
Ukisema Corona haipo marekani utakuwa ni kichaa.. Majimbo yako lockdown hakuna mtu kutoka unafikiri kuna rais gani kichaa angekubali hii hali..huu ni uthibitisho tosha kuwa corona marekani haipo, au uenda kuendelea kubaki tanzania ni hatari zaidi ya kuwa na ugonjwa huu ukiwa united state of american