Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Sijawahi kuona askofu yeyote akiaibika kwa kuwaombea baraka wengine
Sema Mungu wabariki waafrika
Haya sema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuona askofu yeyote akiaibika kwa kuwaombea baraka wengine
Hiyo anataka kwenda kuwaua tu raia zake huko Marekani.
Ni heri awapime na kuwa isolate hapa hapa Tanzania kipindi hiki kuliko kuwapelekea Marekani.
Tanzania salama? Watanzania wangapi wamepimwa kubaini kiwango cha maambukizi nchini?Hiyo anataka kwenda kuwaua tu raia zake huko Marekani.
Ni heri awapime na kuwa isolate hapa hapa Tanzania kipindi hiki kuliko kuwapelekea Marekani.
Takwimu zetu sio za kweli, halafu tupo Kisiasa zaidi hatua madhubuti hazichukuliwi.Kweli kabisa. Mtu akili yake imefungwa kiasi kwamba anathubutu kusema Marekani hakuna corona!! Kauli za Marekani zinatolewa kukidhi maslahi yao fulani tu. Jee, kuna yo yote aliyesikia balozi za Marekani nchini Uchina au Italia zikisema raia wake waondoke huko? Tanzania iko chini sana kwenye orodha ya nchi zilizoathirika na ugonjwa huu. Sasa iweje ndiyo iwe nchi ya kwanza kutajwa kujihami na ugonjwa kama siyo sababu nyingine wanazozifahamu wenyewe
tu.
We are too careless to control it. Mabasi, masoko. Kumbi, nk. Kama vile bado kabisa. Ukizuka mitaani utakuwa moto wa nyikaYaani WHO, dunia inatangaza kila siku halafu anatokea mtu mmoja kutoka Tanzania anakubali Corona haipo Marekani, acheni kusujudia watu kila saa kwenye kila kitu mzee, tuliza akili.
Au taarifa zinazotolewa na Trump mwenyewe kuhusu hali ya Corona nchini mwake huwa hauzisikii, basi tufanye ile siyo Corona bali ni homa ya Dengue
Hata swine flue ya 2009 walisema Africa inaficha data mwisho wa siku hatukuathirika kama walivyoathirika wao.Hivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.
Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Mkuu bora watuambie ukweli tu, na prediction yake siku zijazo watuambie ili tujipange kama kufanya saving na mambo mengine yatakayo tusaidia kukabiliana nayo siku ambazo corona itaweka kambi tzHata ungekua wewe utabaki katika nchi hii ya mficha maradhi??
Subirini tutakavyoanza kudondoka kama kuku wa kideli
akili zingine za kijinga sana. Marekani haisemi kwamba kwao hakuna Corona. Wanachosema watu wao warudi kwao ambako itakuwa rahisi kuwahudumia.
wanaogopa mipaka ikifungwa na hali ikawa mbaya kwao wakiwa Tanzania itakuwa mgumu kuwasaidia.
wakati wa majanga unataka familia yako irudi nyumbani kwako ambako unaweza kuwasaidia.
Hivyo ndivyo nchi zinazojali watu wake hufanya.
Tatizo ni mtu mmoja kuja kudai kwamba Marekani hakuna Corona.Hivi mkuu hujui kwamba WHO na USA au UNO ni wadudu ambao ni ndugu wa Damu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Au isije kuwa wamegundua chanjo, sasa wameamua kuita watu wao wote ili wawape tibaHilo tangazo wametoa ktk balozi zao duniani kote sio hapo TZ pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
waondoe kwanza mahirizi viunoniSema Mungu wabariki waafrika
Haya sema