Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

Virusi vya corona: Hatari ya kuambukizwa corona Dar es Salaam ipo juu yasema Marekani
Msanii wa Tanzania
Haki miliki ya pichaERICKY BONIPHACE
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umewaonya raia wake waishio nchini humo kuchukua tahadhari juu ya hatari ya maambukizo ya corona.
Mapema leo Jumatano, barua pepe kutoka ubalozi huo wa jijini Dar es Salaam kwenda kwa raia wa Marekani waliopo Tanzania kuhusu hali ya virusi vya corona ilisambaa mitandaoni.
Ubalozi huo tayari umechapisha taarifa hiyo kwenye mitandao yake ya kijamii pamoja na tovuti yake.
"Hatari ya kupata maambukizi ya Corona jijini Dar es Salaam ni kubwa sana. Licha ya kwamba taarifa hazitolewi mara kwa mara.
Ushaidi wote unaonyesha kuwa kuna mlipuko mkubwa wa maambukizi ya corona jijini Dar es Salaam na meneo mengine ya Tanzania. Ubalozi wa Tanzania unawataka raia wa Marekani pamoja na familia zao kubaki nyumbani na kutoka kwa ajili ya mahuitaji muhimu tu kama chakula, na kuzuia kukaribisha wageni katika nyumba zao".
Taarifa hiyo iliongeza kusema hospitali nyingi Dar es Salaam zimejaa kipindi hiki. Huku uwezo wa hospitali zilizopo Tanzania ni mdogo na hii inaweza kupelekea huduma za afya kuchelewa zikiwemo huduma za afya za kukabiliana na corona.
Aidha serikali ya Tanzania haijatoa ripoti kuhusu takwimu mpya ya wagonjwa wa corona tangu Aprili 29.
Mpaka sasa taarifa rasmi za maambukizi ya wagonjwa wa corona Tanzania ni 509, waliopona 183 na vifo 21.
Kunawa mikono
Haki miliki ya pichaERICKY BONIPHACE
Hatahivyo ubalozi wa Marekani nchini Tanzania uliongeza kusema kuwa inawawia vigumu kuwaondoa raia wake nchini humo kwa sababu serikali ya Tanzania imesitisha safari zote za kimataifa tangu Aprili, 11 na hakuna hata ndege za kibiashara zinazofanya kazi.
"Raia wa Marekani waliopo Tanzania wametakiwa kujiandaa kubaki nchini humo kwa muda usiojulikana.
Raia wa Marekani waliopo Tanzania wametakiwa kujiandaa kubaki nchini humo kwa muda usiojulikana.
Serikali ya Marekani haina mpango wa kuleta ndege nchini humu siku kwa sasa lakini ikitokea fursa hiyo watawajulisha hivyo ni vyema wakatuma taarifa zao kama familia, kundi au yeyote ambaye ni mkazi wa kudumu wa Marekani atume taarifa zake ubalozini".
Tanzania kukosolewa
Kumekuwa na ukosolewaji wa ndani na nje ya Tanzania juu ya hatua zinazochulukiwa na serikali ya nchi hiyo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona.
Wakati nchi mbalimbali duniani n ahata majirani wakichukua hatua kali kama za kupiga marufuku watu kutoka nje ama 'lockdown' Tanzania imeamua kutoa tahadhari zaidi kwa raia wake.
Rais John Magufuli wa Taifa hilo pia amesema katu haitatangaza lockdown.
Mwezi uliopita, Shirika la Afya Duniani- WHO liliikosoa Tanzania kwa kuchelewa kuchukua hatua za mapema kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa huo.
Mkuu wa WHO wa bara la Afrika Bi Matshidiso Moeti alisema kumekuwa na hofu juu ya kukua kwa kasi ya maambukizi katika taifa hilo la Afrika Mashariki.
"Kwa hakika tumeona kuwa watu kuacha kutangamana, pamoja na kupiga marufuku kwa mikusanyiko ya watu wengi kumechukua muda mrefu kufanyika na tunaamini kuwa hayo yanaweza kuwa ni moja ya mambo yaliyosababisha ongezeko la kasi la wagonjwa wa corona," alisema Dkt Moeti katika mkutano na wanahabari.
Tanzania pia imekosolewa kwa msimamo wa rais Magufuli wa kuendelea kuruhusu nyumba za ibada kuwa wazi. Hata hivyo baadhi ya viongozi wa dini nchini humo wamechukua hatua binafsi za kufunga maeneo yao ya ibada kwa hofu ya kusambaza maambukizi ya corona.
Hivi karibuni, rais Magufuli alitilia shaka ubora wa vifaa vinavyotumika katika kupima corona kwenye maambara kuu ya nchi hiyo. Hilo lilitokana na uchunguzi wa siri aliouagiza kwa kutumia sampuli za Wanyama na matunda na baadhi yake kukutwa na virusi.
Maafisa wawili waandamizi wa maabara hiyo wamesimamishwa kazi huku uchunguzi ukifanyika.
Hata hivyo, Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) pamoja na WHO wamesema kwamba vifaa vya kupimia virusi vya corona nchini Tanzania havina shida yeyote.
Kituo hicho cha Africa CDC pamoja na wakfu wa Jack Ma, Shirika la msaada la bilionea wa China, ndio walisambaza vifaa hivyo.
Tanzania pia inakosolewa kwa kutokutoa takwimu za mara kwa mara za mwenendo wa ugonjwa huo. Mara ya mwisho kwa takwimu kutolewa ilikuwa wiki mbili zilizopita.
Ninaye msikiliza ni mh.Ummy Mwalimu, mh. Kasim Majaliwa na mh. Rais wangu Magufuli baasi hao wengine hawanihusu.

MAGUFULI4LIFE.
 
Non sense and wishful thinking.Kama mapepo hivi.Na wewe hivi seriously unaamini upupu kama huu.Jamani hawa waongo wakubwa na hawatutakii mema na wanataka tuharibikiwe.Wanachofanya hapa ni kutupaka matope ili ionekane kwamba Tanzania tatizo la C-19 ni kubwa sana,sasa na wewe kwa ujinga wako umeileta taarifa kama ilivyo,amkeni nyinyi.Hawa haitakii mema Afrika,kila siku nikuitabiria mabaya tu.Hivi kweli hata jirani yako akikutabiria mabaya,si tunaita uchuro.Msiwe mnaleta taarifa kama hizi,ni mbaya na zinatisha watu.Mimi nasema COVID-19 Africa itabaki ya kubangaiza kwa kuwa mifumo ya kufanya iwepo haipo.Watabaki wanaota tu.Hivi hawajiulizi,kwa nini ni ya kubabaisha mpaka leo?Ingekuwa ni kuanza si ingeanzia kwetu,why China.Na kwa nini pia imeshambulia sana Marekani na Ulaya?Haya mambo yana sababu jamani sio bahati mbaya.
 
According to the Embassy, many hospitals in Dar es Salaam have been overwhelmed in recent weeks by limited hospital capacity which has resulted in life-threatening delays for medical care, including for those with Covid-19.

"The Tanzanian government has not released any data on Covid -19 in Tanzania since April 29, so there is no current data on the number of people diagnosed with COVID-19 in Tanzania," the embassy wrote in a statement on Wednesday.

This follows concerns of the surging numbers of daily infections reported in the country.

The Embassy further warned its citizens in the country to prepare to remain abroad for an indefinite period.

All international flights -commercial and passenger- no longer exist in Tanzania after the suspension took effect on April 11.

"The US Government does not anticipate arranging additional repatriation flights in Tanzania at this time," the Embassy stated.

Truck drivers at the border as they wait to be tested for coronavirus on May 12, 2020.

Image: MERCY MUMO
The Embassy has also advised that US Government personnel and their families remain at home except for essential activities and substantially limit into private homes the entry of anyone but regular residents.

"The risk of contracting Covid-19 in Dar es Salaam is extremely high. Despite limited official reports, all evidence points to the exponential growth of the epidemic in Dar and other locations in Tanzania".

US warns hospitals in Dar es Salaam overwhelmed by virus cases
 
Thank you. Watu wanabeza kana kwamba hawajui tatizo letu hapa ni kubwa sanaaa kuliko huko wanakokufa sana! Kwani sisi tunakufa kidogo? Sasa hivi hata ugonjwa wa kawaida wa kulazwa unakimbiwa na madaktari na manesi, mazishi kwa wingi kila siku; majirani wanatufungia mipaka, SADC wametuweka pembeni; AU wamepinga mambo yetu ya ovyo eti maabara sijui wataalum wana matatizo, kumbe matatizo ni yao wapima mapapai na oil (aibu!); WHO wametufungia milango, wanasema watafanya kazi na Zanzibar, sisi vichwa maji visivyo na akili! bado tu hatushtuki, na mbaya zaidi, bado kuna watu wanaimba mapambio kwa raisi wao "mwenye akili na ujuzi tele"! Shame on us!
Tangu Corona ifike Tz, wewe binafsi umeshazika ndugu, Rafiki, Jirani wangapi??

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Hvi mkuu hizi level za threat huwa zipo ngapi? Yaani maximum level ni ngapi?

Zipo nne, yaani level-4 ndio maximum, ukiona mumetupiwa level four (yaani nyekundu) ujue hali mbovu kupita amelezo.
Zijue hapa level zote hapa

  • Level 1: Blue – Exercise Normal Precautions
  • Level 2: Yellow – Exercise Increased Caution
  • Level 3: Orange – Reconsider Travel
  • Level 4 : Red – Do Not Travel

https://www.usnews.com/news/best-co...e-us-government-warns-not-to-travel-right-now
 
Naomba kufahamu mpaka sasa hii balozi haijafungiwa wala kuitwa kuhojiwa kwa uchochozi huu mkubwa kaa nchi ambayo ina wagonjwa 488 na vifo 16 pekee.

Hii taarifa ya ubalozi wa marekani wameitoa wapi na wamepewa kibali kutangaza kwa umma wakati ni watu 4 pekee walio na mamlaka ya kutangaza?

Ivi ni kweli huko mahospital wagonjwa wamejaa hadi vitanda hakuna?

Na vifo vya kuzikana usiku ni kweli?
 
Chanzo Tafadhali!
 
Muda sio mrefu mzee Kinje wa Chato atatoka mafichoni kujibu mapigo. Maana South Afrika, Kenya, Uganda, Zambia, Rwanda na USA wameanza kumchokonoa.

Ngoja awashe moto upyaaa.
 
Ubalozi wa marekani unatumika na mabeberu kuichafua nchi yetu

Alisikika kichaa mmoja akimuelezea jiwe hali ya mambo huku duniani

kush na Wisdom
 
Naomba kufahamu mpaka sasa hii balozi haijafungiwa wala kuitwa kuhojiwa kwa uchochozi huu mkubwa kaa nchi ambayo ina wagonjwa 488 na vifo 16 pekee.

Hii taarifa ya ubalozi wa marekani wameitoa wapi na wamepewa kibali kutangaza kwa umma wakati ni watu 4 pekee walio na mamlaka ya kutangaza?

Ivi ni kweli huko mahospital wagonjwa wamejaa hadi vitanda hakuna?

Na vifo vya kuzikana usiku ni kweli?
Sasa si uende kutafiti kama ni kweli ili uje ufanyie propaganda kama kawaida yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda sio mrefu mzee Kinje wa Chato atatoka mafichoni kujibu mapigo. Maana South Afrika, Kenya, Uganda, Zambia, Rwanda na USA wameanza kumchokonoa.

Ngoja awashe moto upyaaa.
Safari alikuja na story zake za kuokoteza eti walipima mapapai na oil.

Ujinga mrupu

kush na Wisdom
 
Back
Top Bottom