Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

Huko Marekani uwezekano wa kuambukizwa corovid 19 ni 99. 9%. Yaani wanakufa kama kuku wa broiler waliopata kideri. Wanaanza kuwa na hofu na Dar wakati kwao ndio hatari fire[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Marekani uwezekano wa kuambukizwa corovid 19 ni 99. 9%. Yaani wanakufa kama kuku wa broiler waliopata kideri. Wanaanza kuwa na hofu na Dar wakati kwao ndio hatari fire[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Its all about making money! Hawa wameona tushawaahtukia
 

Hakuna anaefahamu idadi kamili ya maambukizi na vifo vya corona Tanzania. Hospital zimefurika na wahudumu wanapambana pamoja na vitendea kazi kuwa hana.

Ubalozi wa Marekani una tahadharisha kuwa ni rahisi sana kupata maambukizi ya corona Tanzania hasa Dar.

Wafanya kazi wa Ubalozi wameshauriwa kubaki majumbani mwao, watoke kwa shughuli muhimu kama kununua mahitaji ya ndani na chakula. Pia wawe makini kukaribisha wageni nyumbani.
 
Umesema je ? Idadi ya maaambukizi na vifo vimefika vingapi?

God save us
 
 
Ni hatari zaidi kupata corona ukiishi Marekani kuliko Dar dada yangu. Labda kwenye ofisi za CDM kama hii.
 
Taarifa hii na ile ambayo Moderator aliifuta sijaona tofauti kubwa japo hii haina takwimu na ile yangu ilikuwa na takwimu, tatizo ni kubwa sana jamani watanzania.

Angalia 👇

Dear all regrets to announce the passing of Amos Gerson Ndimurwanko, First Councellor at Burundi Embassy in Tanzania. He was admitted in one hospital in Arusha. He leaves a widow and six children.



😷May his soul rest in eternal peace Ameen.
 
Yaah bila kufanya testing..n testing n testing kwa watu, or kufanya targeted mass testing kwenye epicenters kuweza kujua extent ya ugonjwa na kuisolate wagonjwa, basi nafikiri itakuwa kazi kubwa ku contain huu ugonjwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani siku hizi akifa basi ni corona tu. Basi hamia Marekani ambako hakuna corona?
 
Unawaamini hao ubalozi wa USA? Mbona kwao wanakufa kama Kuku?
Utafikiri huko kwao corona haipo kabisa
Hapo Sasa..wakati wanakufa kama kuku mdondo.
Na afadhali wangekuwa wanakufa tu ila wanakufiana

Nyie hata kupewa tahadhari hamtaki? Haya ndio matatizo ya rais na wafuasi wake. Nimemsikia na bashite akisema waliozikwa usiku ilikuwa ni watu wanachukua majeneza na kuchimba chimba ili ionekane watu wanazika usiku....Nyie bila shaka ni timu moja na hawa. Jichunguzeni roho zenu ni watu msiojali maisha ya watu na ndio tabia ya uongozi uliopo, hii ni hulka ya watu flani.
 
Beberu achana naye sisi huku mitaani hatuoni korona ikipukutisha watu hivyo watuweke level hata ya 8 sisi hatuna habari

Send by APOLO 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…