Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

Kesho 14-05-2020 kuna ndege ya kukodi EMIRATES inakuja kukomboa wamarekani waliokuwa wamebaki, wanajua idadi ni kubwa ya kutisha, wameamua kukimbia na kuacha kila kitu chao , bora kufia hospitali marekani kuliko mapokezi mwananyamala, maana hapo unaona wanasema hata wagonjwa hawapokelewi, unaachwa ujifie tu na tena wanakwambie kanywe pilipili kichaa na mirungi ndio daawa
Acha uongo! Hakuna cha ndege wala nini? Marekani ni hatari zaidi kuliko TZ kwa Corona. Kuna ndugu yangu yuko Mwanza ana uraia wa Marekani ameshindwa kwenda USA hata ubalozi wameshasema hawana ndege tena ya kwenda huko.
 
PUMBAV wewe, sasa mwanangu anaondoka kesho, ingia website ya EMIRATES uone ndege ya kesho kupitia armstedam.
Tatizo hata hujui Rwanda Air imekuja kubeba samaki mwanza wakaacha Air Tz, Mkulima yupo na minyororo anaisubiri popote itapotua ndiyo maana hata madagaska walipeleka ndege ya raisi kwakuwa hairuhusiwi kukamatwa.
 
si mwende kwenu ambako hakuna corona ???

unakumbuka hawa wapumbavu waliwahi kuwatahadharisha wananchi wake kuhusu hali ya usalama nchini ???
Tahadhari inasaidia mambo mengi, kwanza kuzuia tukio la hatari lililopangwa au kuepusha madhara makubwa endapo litatokea kwasababu watu watakuwa aware. Wabongo niaje sijui
 
Unawaamini hao ubalozi wa USA? Mbona kwao wanakufa kama Kuku?

Ni kweli marekani wanakufa lakini wanapambana, Vipi kuhusu wewe kila zinapokuja lawama unda-dil na hizo lawama tu bila ya kujitathmini wewe na hali yako, kuchukua hatua unabaki pale pale unaonaje hii hali inavyokwenda na matokeo yake baadae?

Toka tarehe 29 hakuna updates unaweza kupata hisia muko kawaida hakuna maambukizi ya Covid-19 nchini lakini jiulize swali dogo tu kwanini watoto hawaruhusiwi kurudi mashuleni na vyuoni? mnasema huu ugonjwa ni mdogo tu labda ut ashindwa kwa jina la yesu na kujifukiza majani ya miti na mumeagiza dawa toka madascar je akili yako inakupa hiyo dawa ya madagascar atakunywa nani aache nani box 13? lakini mpaka zifanyiwe utafiti.

Swali jengine je utafiti utachukua muda gani? vipi kuhusu kipindi hichi munatafiti dawa toka Madagascar ugonjwa umesismama hamna maambukizi?

Unafkiri kuvaa barakoa na kunawa maji tiririka kwa sabuni inatosha? China tayari wameanza kuruhusu kufungua miji yao lakini je wajuwa next wamefanya nini? utakuta watu wapo huru hivi kutembea na kufanya shughuli zao lakini nadhan tatizo kubwa hapa mumeshindwa kufahamu kwamba watu wapo kwenye mfumo (systeam) ikisaidiwa na vyombo vya usalama kama polisi kuwaelekeza watu lakini watu hupata ujumbe kupitia simu zao za mikononi kwamba hapo ulipo sasa mita 10 au mji ama mtaa huo kuna wagonjwa idadi hii labda fanya hivi na vile ama rudi ulikotoka na mfano wa hayo. Ndio mana hizi nchi wameondoa hizo tunazoita lock-down lakini kuna hatua nyengine wanachukua kila siku. Sasa jiulize huko kwenu hakuna lock-down hatua zinazochukuliwa ni zipi instead? jibu ni kunawa kwa maji tiririka kwa sabuni na kuvaa barakoa tu.

Jiulize kama madereva kadhaa wanaenda nchi jirani wamegundulika na corona vipi kuhusu huko mitaani na mijini?
 
Haya hao wakamatwe sasa, nendeni mkawakamate hao wanaosema uwezekano wa kupata corona dar nimkubwa, maaana angesema hivyo mwingne tiyari angeandamwa na kikundi kile cha wahantaramwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you. Watu wanabeza kana kwamba hawajui tatizo letu hapa ni kubwa sanaaa kuliko huko wanakokufa sana! Kwani sisi tunakufa kidogo? Sasa hivi hata ugonjwa wa kawaida wa kulazwa unakimbiwa na madaktari na manesi, mazishi kwa wingi kila siku; majirani wanatufungia mipaka, SADC wametuweka pembeni; AU wamepinga mambo yetu ya ovyo eti maabara sijui wataalum wana matatizo, kumbe matatizo ni yao wapima mapapai na oil (aibu!); WHO wametufungia milango, wanasema watafanya kazi na Zanzibar, sisi vichwa maji visivyo na akili! bado tu hatushtuki, na mbaya zaidi, bado kuna watu wanaimba mapambio kwa raisi wao "mwenye akili na ujuzi tele"! Shame on us!
Dunia nzima inaanza kulegeza masharti ya lockdown japokuwa ugonjwa haujadhibitiwa ,sisi na wao muda sio mrefu tutakuwa kitu kimoja. Huu ugonjwa hata ukimfungia mtu ndani bado haisaidii sanasana utapoteza ukoo mzima Bora hivi hivi ili tusife kwa CORONANJAA.
 
Kesho 14-05-2020 kuna ndege ya kukodi EMIRATES inakuja kukomboa wamarekani waliokuwa wamebaki, wanajua idadi ni kubwa ya kutisha, wameamua kukimbia na kuacha kila kitu chao , bora kufia hospitali marekani kuliko mapokezi mwananyamala, maana hapo unaona wanasema hata wagonjwa hawapokelewi, unaachwa ujifie tu na tena wanakwambie kanywe pilipili kichaa na mirungi ndio daawa
Rate ya kufa marekani unaijua lakini?
 
K
Ni kweli marekani wanakufa lakini wanapambana, Vipi kuhusu wewe kila zinapokuja lawama unda-dil na hizo lawama tu bila ya kujitathmini wewe na hali yako, kuchukua hatua unabaki pale pale unaonaje hii hali inavyokwenda na matokeo yake baadae?

Toka tarehe 29 hakuna updates unaweza kupata hisia muko kawaida hakuna maambukizi ya Covid-19 nchini lakini jiulize swali dogo tu kwanini watoto hawaruhusiwi kurudi mashuleni na vyuoni? mnasema huu ugonjwa ni mdogo tu labda ut ashindwa kwa jina la yesu na kujifukiza majani ya miti na mumeagiza dawa toka madascar je akili yako inakupa hiyo dawa ya madagascar atakunywa nani aache nani box 13? lakini mpaka zifanyiwe utafiti.

Swali jengine je utafiti utachukua muda gani? vipi kuhusu kipindi hichi munatafiti dawa toka Madagascar ugonjwa umesismama hamna maambukizi?

Unafkiri kuvaa barakoa na kunawa maji tiririka kwa sabuni inatosha? China tayari wameanza kuruhusu kufungua miji yao lakini je wajuwa next wamefanya nini? utakuta watu wapo huru hivi kutembea na kufanya shughuli zao lakini nadhan tatizo kubwa hapa mumeshindwa kufahamu kwamba watu wapo kwenye mfumo (systeam) ikisaidiwa na vyombo vya usalama kama polisi kuwaelekeza watu lakini watu hupata ujumbe kupitia simu zao za mikononi kwamba hapo ulipo sasa mita 10 au mji ama mtaa huo kuna wagonjwa idadi hii labda fanya hivi na vile ama rudi ulikotoka na mfano wa hayo. Ndio mana hizi nchi wameondoa hizo tunazoita lock-down lakini kuna hatua nyengine wanachukua kila siku. Sasa jiulize huko kwenu hakuna lock-down hatua zinazochukuliwa ni zipi instead? jibu ni kunawa kwa maji tiririka kwa sabuni na kuvaa barakoa tu.

Jiulize kama madereva kadhaa wanaenda nchi jirani wamegundulika na corona vipi kuhusu huko mitaani na mijini?
Usimsifie Sana jirani huku hauna uthibitisho wa anacho kifanya,China wenyewe bado wanaripoti visa,marekani Russia, England, Italy na manchi yote yenye uchumi mkubwa AKA mabeberu sembuse wewe mbongo? Nani anatumia application kujua mwenye maradhi? Jibu hakuna hiyo nchi, sasa umeambiwa kaa ndani sasa Kama uchumi wako unaruhusu kaaa ila Kama haukuruhusu kukaandani nenda katafute hujazuiliwa,lockdown ipo sema ni ya hiyari, CORONA IPO KAANDANI KAMA UNAUWEZO MAANA MTAJI WA KWANZA NI UHAI NA SIO UBISHI.
 
Yadai taarifa walizo nazo nyuma ya pazia ni kwamba kule Tanzania kirusi kimetamalaki, hospitali zimejaa na kulemewa, yashauri Wamarekani walioko Tanzania wajitie lockdowns wenyewe maana hamna namna ya kuwaokoa kwa sasa.
Ndugu zetu wanazidi kuwa wakaidi balaa.... mfupa uliomshinda fisi, bado mnakusanyika kwenye madaladala na vilabu vya pombe.
=================================

The Tanzanian government has not released any data on COVID in Tanzania since April 29, so there are no current data on the number of people diagnosed with COVID-19 in Tanzania.

The Department of State has issued a Global Level 4 Health Advisory for COVID-19. For emergency American Citizen Services, including emergency passports, please visit ourwebsite for additional information.

The risk of contracting COVID-19 in Dar es Salaam is extremely high. Despite limited official reports, all evidence points to exponential growth of the epidemic in Dar and other locations in Tanzania. The Embassy has strongly recommended that U.S. government personnel and their families remain at home except for essential activities (e.g., grocery shopping) and substantially limit into private homes the entry of anyone but regular residents.

Many hospitals in Dar es Salaam have been overwhelmed in recent weeks. Limited hospital capacity throughout Tanzania could result in life-threatening delays for medical care, including for those with COVID-19.

The Government of Tanzania suspended all international scheduled passenger planes to Tanzania effective April 11 and international commercial flight options no longer exist in Tanzania

U.S. citizens who remain in Tanzania should be prepared to remain abroad for an indefinite period. The U.S. government does not anticipate arranging additional repatriation flights in Tanzania at this time. However, in the event that opportunity becomes available, we are asking you to let us know if you are interested in being contacted. Please enter your information via the following link: bit.ly/USCitizenInfo and complete the form for each U.S. citizen or U.S. legal permanent resident guardian accompanying minor children in your family or group. If a repatriation flight is arranged, an email will be sent to anyone who submitted information via this form. If you have already submitted your information via email you do not need to submit your information again.

Actions to Take:
Consult the CDC website for the most up-to-date information.
Visit the COVID-19 crisis page on travel.state.gov for the latest information.
Visit our Embassy webpage on COVID-19.
Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.

Assistance:
U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania
686 Old Bagamoyo Road, Msasani,
P.O. Box 9123
Dar es Salaam, TANZANIA
+255 22 229-4000
drsacs@state.gov
tz.usembassy.gov

Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
 
Tulikuwa tunawacheka North Korea, kumbe na sisi njia moja.

Madikteta yote akili zinafanana
 
Back
Top Bottom