Ubalozi wa Marekani nchini umeendelea kuwasisitizia Wananchi wake waliopo nchini kuwa uwezekano wa kupata Corona nchini ni mkubwa

Huu ni ukweli na wala si siasa! Tena transmission iko very high, maana measures to contain transmission zimekuwa abandoned! Hapa kwetu jana nilikuwa kituko maana the whole bus nilikuwa peke yangu nimevaa mask! Walinicheka actually!
Afadhali walikucheka! Umezidi
 
Solution ni kwamba waje wawasombe tu na kuwarudisha huko paliko salama wakakusanyane ili kuongeze nguvu ya maandamano.
AIBU KWA WALE VIONGOZI WALIOJIFANYA WANAENDA KUMTISHIA MTU NYAU. MESEJI SENTI
 
Huu ni ukweli na wala si siasa! Tena transmission iko very high, maana measures to contain transmission zimekuwa abandoned! Hapa kwetu jana nilikuwa kituko maana the whole bus nilikuwa peke yangu nimevaa mask! Walinicheka actually!
Kila familia inajua nakafariki kwenye familia yao kwa hiyo tusisambaze uongo kuwa watu wanakufa . Misiba huwa inaripotiwa na familia tu.
 
Hahaaaa! Hawa watu bana!

Huko Marekani sasa hivi hakuna cha Corona wala bibi yake Korona.

Sasa hawa watu wa ubalozi wanaleta za kuleta.

Watanzania endeleeni na maisha yenu kama kawaida.

George Floyd kaimaliza hiyo Corona.
Safi kabisa! Kama kwao ni salama Si warudi kwao ?
Unamyooshea mtu kidole kimoja wakati vile vinne vinakurudia mwenyewe! Shame kwa ubalozi!
Kwa marikani sasa ndio salama?? Duh
 
Kila familia inajua nakafariki kwenye familia yao kwa hiyo tusisambaze uongo kuwa watu wanakufa . Misiba huwa inaripotiwa na familia tu.
Akili za ccm utazijua tu! kama za ndugai..rais wa milele
 
Bila kuwa na scientific data za kuonesha kiwango cha maambukizi, tutaumizwa sana.

Kauli ya US siyo sawa na ya Msumbiji au Comoro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe inaonekana huelewi kabisa kinachojadiliwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wamesema msikusanyike?
 
Hivi USA ina raia milioni ngapi hapa nchini wakuu?
 
Ni kweli serikali haitoi takwimu jambo ambalo si sahihi lakini wamarekani wao wanatoa takwimu na juzujuzi tumeshuhudia maandamano makubwa hakuna wanaovaa mask wala kukaa social distance inaonekana balozi ana ajenda ya siri
 
Influenza,
Ni kweli...kuna outbreak Tanzania ya COVID-19 halafu tunaambiwa na watu wanaotoka Ghamboshi kwamba Covid-19 umekwisha, hatujaambiwa umeishaje? Lakini huku mtaani tunao marafiki wanaougua. TANZANIA IS NOT SAFE, DO NOT COME TO TANZANIA.
Hapa unamwambia nani asije Tanzania sasa? Bibi yako au?
 

Hoja ya kiafya kuingiza siasa ni kuinajisi.

Hiyo ‘CDM’ unamaanisha nini kusema ni like ‘sensible’ people.?
 
Mkuu kwenu kuna aliye na Corona?

Wanavyanzo vya tarifa vya uhakika Sawa Ila ni vya kiuonezi
Inawezekana hali siyo mbaya sana lakini ukweli ni kuwa Corona bado ipo kwa kiasi kikubwa Tanzania.

Mpaka muda huu kuna ndugu yangu Mwanza, familia nzima wanaumwa. Mama alizidiwa, akaamua kwenda kituo cha Buswelu, akakataliwa. Akaambiwa kuwa kwa dalili alizozitaja, na wanavyomwona, itakuwa ni Corona, lakini wamezuiwa kupokea wagonjwa. Aende akaugulie nyumbani. Wakampa namba ya simu na kumwambia kuwa akizidiwa zaidi awapigie, wataenda kumhudumia nyumbani.

Rafiki yangu wa Dar, leo ni siku ya 5 tu tangu arudi nyumbani. Amekaa ICU kwa wiki nzima. Ndugu walilazimika kumpeleka private hospital.

Wagonjwa hawapokelewi vituoni ili ionekana hakuna wagonjwa!!

Wanajua kabisa kuwa corona ipo, ndiyo maana hawathubutu kuamua kuchukua vipimo randomly ili waithibitishie Dunia kuwa hakuna Corona. Tumeamua kuishi kama tunavyoishi. Atakayepitiwa na kuondoka, basi ni bahati mbaya lakini tusijidanganye kuwa eti corona imekwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichofanya uniulize hilo swali ni kipi?
Ulichokieleza hakimo kwenye tangazo hilo la Ubalozi. Hakuna waliposema kuwa hospitali zimejaa wagonjwa wa corona. Soma vizuri, ulielewe hilo tangazo.

Kiuhalisia sioni ubaya wa hiyo tahadhari. Wameeleza kuwa hakuna takwimu zozote za hali ya ugonjwa. Hivyo hawawezi kuwaelekeza watu wao juu ya hali ya ugonjwa ilivyo nchini mwetu.

Ni kweli hakuna takwimu kwa sababu hatupimi.

Na kwa vile hakuna takwimu, huwezi kusema kwa uhakika kuwa ugonjwa umekwisha.

Wanaoumwa wakiwa na dalili za corona, wakienda vituoni, wanaambiwa waende wakaugulie majumbani mwao.

Hospitali hazina wagonjwa kwa sababu wagonjwa wanarudishwa majumbani kwao, halafu baada ya hapo, tunasema hospitali hazina wagonjwa!!

Hali ya ugonjwa na vifo inawezekana siyo ya kutisha sana, lakini ugonjwa bado upo, na wapo wanaokufa. Serikali haitaki kusikia mtu amekufa kwa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wenye
Hoja ya kiafya kuingiza siasa ni kuinajisi.

Hiyo ‘CDM’ unamaanisha nini kusema ni like ‘sensible’ people.?
independent thinking people.! kama Chadema.... watu wanafikir na si kusikiliza mkubwa anasema nin na kufuatilizia humo! Leo Magufuli akisema nilikosea tuweke lockdown, watapanga maandamano ya kumpongeza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…