Afadhali walikucheka! UmezidiHuu ni ukweli na wala si siasa! Tena transmission iko very high, maana measures to contain transmission zimekuwa abandoned! Hapa kwetu jana nilikuwa kituko maana the whole bus nilikuwa peke yangu nimevaa mask! Walinicheka actually!