Ubalozi wa Marekani nchini umeendelea kuwasisitizia Wananchi wake waliopo nchini kuwa uwezekano wa kupata Corona nchini ni mkubwa

Wapi niliposema nilichoeleza kipo kwenye hilo tangazo? Mimi nimezungumzia suala la kusema kwamba wana vyanzo vya uhakika ndipo nikakumbushia suala la wao kusemaga kwamba Tanzania hospitali zimezidiwa kwa kujaa wagonjwa wa corona.

Bora waje kuwasomba wawarudishe huko kwao palipo salama wakaongeze nguvu ya maandamano, kuliko kila mara kutoa matangazo na hao watu wao nao wanang'ang'ania hapa Tanzania.
 
Chadema hii hii ambayo inashindwa kukeep wabunge wake? Wote wanahama kwa sababu za kipuuzi kabisa, haiwezekani mkaondokewa na wabunge wengi hivyo and bado mkajiita sensible
 
Watu wenye

independent thinking people.! kama Chadema.... watu wanafikir na si kusikiliza mkubwa anasema nin na kufuatilizia humo! Leo Magufuli akisema nilikosea tuweke lockdown, watapanga maandamano ya kumpongeza..
Mkuu issue ya Lowassa haikutosha kuonesha rangi za hao unaowasifia?
 
Pole mkuu, kumbe kweli Wapo, Mimi buana Hadi hivi navoandika hapa sjaona kabisa eneo la kwetu huku
 
Influenza,
Ni kweli...kuna outbreak Tanzania ya COVID-19 halafu tunaambiwa na watu wanaotoka Ghamboshi kwamba Covid-19 umekwisha, hatujaambiwa umeishaje? Lakini huku mtaani tunao marafiki wanaougua. TANZANIA IS NOT SAFE, DO NOT COME TO TANZANIA.
Huko marekani ndio safe?
 
Watu wenye

independent thinking people.! kama Chadema.... watu wanafikir na si kusikiliza mkubwa anasema nin na kufuatilizia humo! Leo Magufuli akisema nilikosea tuweke lockdown, watapanga maandamano ya kumpongeza..

Aisee!

CHADEMA hii hii ya Lijualikali.?
 

Ukitaka kujua huko kwao wagonjwa wote ambao ni serious hupoteza maisha pamoja na kuwa wapo kwenye ventilation lakini asilimia kubwa hupoteza maisha, tafuta youtube uone wauguzi wanavyosema,
Kule ukizidiwa lazima ufe. Sasa hapa wanaogopa nini?
Kama walitegemea tutakufa kwa wingi ikashindikana bado wanajifanya wana uwezo?
Hili liliwashinda na kwa busara tu wangekubali kushindwa.
 
Aisee!

CHADEMA hii hii ya Lijualikali.?
Lijua likali alikuwa na akili, njaa imeiondoa yote. Masikini anatafuta pa kumbeba. Maprofesa wanafika mahali wanajiita wa jalalani ili waweze kwenda chooni, like wise na Lijua! Lkn alipokuwa CDM alikuwa katika thinking environment.. he was able to think!
 

Nimepata ujumbe mpana sana kwenye maelezo yako haya, nimepata mwanga wa kinachoendelea kwenye chama tajwa... nitaufanyia ‘rejea’ ujumbe huo kwenye mijadala mingi mingine.
 
Hahaaaa! Hawa watu bana!

Huko Marekani sasa hivi hakuna cha Corona wala bibi yake Korona.

Sasa hawa watu wa ubalozi wanaleta za kuleta.

Watanzania endeleeni na maisha yenu kama kawaida.

George Floyd kaimaliza hiyo Corona.
Wamarekani wana monitor through mass testing, Tanzania wao ni zero monitoring watu wanajiuguza na kujifia majumbani mwao.

that's a glaring difference even a kindergarten kid can tell!
 
Corona ipo Dar nimemzika juzi Shangazi yangu kipenzi aliezaliwa na baba yangu. Alikua awezi kupumua kabisa. Bado najiuliza ameipataje..? Hata mimi kohoni nasikia sipaelewi leo. Siasa zao za kutaka pesa za watalii, zinatumalizia wazee wetu.
Nenda kapimwe mkuu. Sasa kama shangazi yako hakwenda kwenye vituo vya afya nani wa kumlaumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uchama mkuu. Ni ushamba wa namna fulani vile!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan marekan Sasa ndio Kuna Corona mpaka bas Yan kule Kuna Corona kichaa
 
Mtoto wa Mbowe na maunyama uzembe yake kapona sembuse hao wazungu vimbau mbau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…