Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

Ila kweli.
Polisi wanakosea sanaa.
Kuna mambo wanayafanya hayana umuhimu.
kama kuna kiongozi anawatuma wafanye hayo ajue sio sahihi..
Watu mmewakaba kila sehemu lakini bado mnawaogopa HAMJIAMINI?
namhurumia mkwe wangu Siro, safari za Ze Hegi zitamhusu sana ingawa maskini hana hatia mkatoliki huyu!!
 
Maana kuna malingo humu duniani ambayo wanatakiwa kuyaondoa kwa lazima!?

MALINGO YANAPOANZIA

1. ZAA MTOTO SOMESHA HAKUNA KAZI

2. ABUDU SHERIA LAKINI NI VISTORY VYA KUSIMULIA WAJUKUU KWA WENGINE MFANO SHERIA YA VYAMA VYA SIASA

3. FIKILISHWA KWA LAZIMA BILA HELA KWA AJILI YA JAMII NA USUMBILI KUJIUWA

4. WATU KUWEKA NDOTO NYINGI KWA MTU MMOJA KWA MATATIZO YA WENGI


5. MAISHA YA KUBORESHA YAKIJA ZIBA HELA ZISIPATIKANE MTAANI

6. HATA VIPI TUTAWEKA TATIZO KWA MTU MMOJA NA SIYE TUENJOY

7. KIKOSI ILIBIDI KIANDAE JANGA LA KUFIKIRISHA WATOA MAAMUZI

NA KATHALIKA

Kwa sababu hakuna mkamilifu hiki kikosi ndicho kitatumika kuwanyosha WATAKATIFU WA NATHALETI pamoja na MFALME ERODE....

Check walivyorelax kwenye mjengo hapo ni kusifia barabara tu maana kesho hukumbuki


Watakubalika tu
 
Wapambane na iran kwanza hao makuwaidi wa ubeberu

Tanzania tuna marafiki wazuri km China na Russia hao USA hatuna muda nao
Kama una akili timamu na ni msomi uliye elimika na unaijua historia ya china vyema basi huwezi kusema china ni rafiki mzuri. ni hayo tu.
 
Kuna watu wana kibri kama wataishi milele,kumbuka kwa haya yote unayowafanyiya wenzako ipo siku utaachia madaraka, au utakufa.sijui kama kungekuwa kunakuishi milele ukatili wa binadamu ungepindukia kiasi gani
Dua la kuku hilo Hayo maneno yameanza kusemwa tangu 1996 hadi kwani hao unao ona wewe watakatifu hawafi??
 
Hilo tangazo katoa nani? Yani ubalozi uko tayari kuunga mkono na kusaidia uhuru? How?
 
Kuna jambo linafuata siku si nyingi na wengine tumeshaonya kupitia hapa JF.
Hata mimi hofu yangu kama yako.....kuna watu wanahisi ni matamko tu na hawawezi kufanya chochote..
Hiv watu wamesahau Nguvu ya Marekani na ushawishi wake
Yupo wapi Gaddafi?,na wengine wa karba yake......au yule General wa iran aliyeuliwa kama mbwa na Iran haijarusha hata risasi moja USA

China na Russia zina uwezo wa kujibizana na Marekani....ila sio sisi...
Tujitafakari........Nchi yetu sote jamani
 
Huu ubalozi uko Tanzania pekee yake au?? Maana tukijamba wamo .......tukikooa pia wamo.......tukifinyana pia wamo.......tukishiba pia wamo.......tukikwaluzana pia ivoivo........nyie wamarekani ni demokrasia ipi mnayoizungumza?? Uko kwenu mpka Trump kaweka jeshi barabarani .......hamja sema kitu.......weusi wanakufa mko kimya kama kafa shoga..........sasa hapa mlipo fika inatosha........its enough its enough.........we dont need any conrvesation from u .......we are independent country .......... fanyeni lililo wareta .....ni mmekuja kufanya diplomat au interest diplomat???........akikosea unataka asikamatwe kisa nini akati hata raia akikosea anachukuliwa hatua......au kuwa mpinzani basi wewe uko juu ya sheria .... ukikosea usikamatwe ...........ukireta jeuri usionywe.......kwani inchi ni ya baba ako hii??.........sasa jibu ni hili.........kama mnaturetea ukuda uku kwetu bana ......kira mtu ashinde mechi zake ..........nyie bakini kwenu na sisi tukae kwetu full stop
 
Wapambane na iran kwanza hao makuwaidi wa ubeberu

Tanzania tuna marafiki wazuri km China na Russia hao USA hatuna muda nao
Hee wameshahama kutoka Corona..... Hakuna cha babake corona wala mama yake au kaka yake wala mjomba wake corona. Yule mama uso umekuwa mdogo pamoja na washabiki wake bungeni
 
...
Yupo wapi Gaddafi?,na wengine wa karba yake......au yule General wa iran aliyeuliwa kama mbwa na Iran haijarusha hata risasi moja USA
...
Mkuu usitukumbushe ya Gen. Soleman; eti "jenerali matata" ni mtata kwa wajingawajinga aliowaongoza sio kwa Marekani. Anyway, muhimu amebaki historia and shall never be seen again forever and ever!
 
Kwendeni zenu. Msituchagulie cha kufanya ndani ya nchi yetu.
 
Wapambane na iran kwanza hao makuwaidi wa ubeberu

Tanzania tuna marafiki wazuri km China na Russia hao USA hatuna muda nao
Nasikia huyo aliyetafsiri huo ujumbe atatumbuliwa muda si muda. Ahaaaanna kweli udikteta huu lazima tufanye kitu mapema, imezidi.
 
Nyie vibaraka wa mabeberu mtaisoma namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…