Beberu la kiafrika!View attachment 1488302
Maswali ya kijinga hayajibiwiMama yako je?
Mungu wabariki Wazungu
Beberu la kiafrika!View attachment 1488302
Acha hizo iweje uwaite wanaume wenzako mabeberu kwani wewe ni mbuzi jike? USA mda nao upo mwingi sana acha kujishaua kwa china ambao wana hasira nanyi baada ya kuwafanyia figisu figisu kwenye ujenzi wa Bandari ya BagamoyoWapambane na iran kwanza hao makuwaidi wa ubeberu
Tanzania tuna marafiki wazuri km China na Russia hao USA hatuna muda nao
USA ya Sasa haitaki wakimbizi wapya toka Tanzania pindi wapinzani wakichoka na uonevu wa CCM wakaamua kupambana kudai haki zao kwa lazima.Ni lzm wasikitishwe sababu wanao uzoefu wa hayo.Maana wao ndio uingia gharama kubwa za kuhudumia wakimbizi na sio sisi Kama waafrika.Nchi za kiafrica ziwezacho ni kuzalisha wakimbizi duniani na sio kuhudumia wakimbizi.
Pia sisi ni global village ni sehemu ya dunia.
Jumuia za kimataifa zipewe meno za kuwaeliminate watawala wote duniani wenye viashiria vya uvunjifu wa amani sababu ya malezi mabovu utotoni,hii itaeupusha jumuiya za kimataifa kuingia gharama kubwa za kusawazisha Mambo pakichafuka.
Corona imewavuruga marekani nina imani hali ikitulia huo lazima watakuja na Azimio kali dhidi ya utawala wa Naibu Rais Bashite na mtukufuAwa nao siku hizi wana maneno tu, hatuoni hatua yeyote wanayochukua zaidi ya maneno tu.
ITATEGEMEA AMEAMKAJE SIKU HIO.
Wawapige totally ban igp na cdf plus wakuu wote wanufaika wa udhalimu kuingia USA au ulaya,sijui watatibiwa wapiCorona imewavuruga marekani nina imani hali ikitulia huo lazima watakuja na Azimio kali dhidi ya utawala wa Naibu Rais Bashite na mtukufu
Walikuwepo akina Gadafi, Sadam Hussein, Bokasa, chiluba, mabutu, Abacha , Elbashiri, Idd Amin Dada leo wapo wapi?Kuna watu wana kibri kama wataishi milele,kumbuka kwa haya yote unayowafanyiya wenzako ipo siku utaachia madaraka, au utakufa.sijui kama kungekuwa kunakuishi milele ukatili wa binadamu ungepindukia kiasi gani
China sio beberu?Wapambane na iran kwanza hao makuwaidi wa ubeberu
Tanzania tuna marafiki wazuri km China na Russia hao USA hatuna muda nao
Corona haijawashinda wanaendelea kuidhibiti lakini Tanzania mmegoma kutangaza wagonjwa ili corona isambae kwa wingi waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa waogope kuja Tanzania ili CCM wafanye uchakachuaji wizi wa kura bila wa kuwaulizaYa corona yameshimda wamegeukia ya demokrasia wanapata taabu sana.
CCM wao hata kenya ni Beberu kwaoChina sio beberu?
Hivi Gazeti la Tanzania Daima ni la Mbowe au ni la CHADEMA?
Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ni mwelekeo sahihi? Muunge mkono peke yakoMagufuli anaipeleka nchi kwenye muelekeo sahihi, tuzidi kumuunga mkono
Wapiga kura wa wapi hao? Hakuna mpiga kura mwenye Akili timamu anakubali kumwita mwanaume mwenzake Beberu, ni CCM pekee wamejitoa fahamu na kuwaita wanaume wenzao mabeberu na wao kubakia kuwa mbuzi jike.Yaani hawa ndio wanazidi kuwaharibia kabisa wapinzani.
Wapiga kura wengi tunawachukia sana vibaraka wa mabeberu.