Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

Panya anaitukana marekani wakati uhuru,google,internet,,fb,tweeter, waanzilishi marekani .miezi iliyopita Waziri na Prof. Kabuda, alikuwa huko tumepewa msaada bilion of money.ila Panya anawatuka wazungu. Uhuru ulionao hapa ni wao walikupatia wewe. Mungu wabariki wazungu
 
Kukosa akili kitu kibaya sana,yaani anawekwa kwenye kumi na nane hajielewi tu.Jiwe anatomy of a plot
 
Wow
PossibleDeliriousDunnart-max-1mb.gif
 
Wapambane na iran kwanza hao makuwaidi wa ubeberu

Tanzania tuna marafiki wazuri km China na Russia hao USA hatuna muda nao
Acha hizo iweje uwaite wanaume wenzako mabeberu kwani wewe ni mbuzi jike? USA mda nao upo mwingi sana acha kujishaua kwa china ambao wana hasira nanyi baada ya kuwafanyia figisu figisu kwenye ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo
 
China wana hasira na Utawala huu wa Naibu Rais ndugu Daud Bashite na mtukufu na pia pesa zao zinawauma baada ya kugharamia Safari ya Ndungai kwenda China kufanyiwa presentation wakiamini atalishawishi Bunge kuwaunga mkono lakini Ndungai kawasariti wameikosa Bandari ya Bagamoyo, USA aweza kuwa yupo wazi wazi lakini china yupo kwa siri moyoni.
 
Ni lzm wasikitishwe sababu wanao uzoefu wa hayo.Maana wao ndio uingia gharama kubwa za kuhudumia wakimbizi na sio sisi Kama waafrika.Nchi za kiafrica ziwezacho ni kuzalisha wakimbizi duniani na sio kuhudumia wakimbizi.
Pia sisi ni global village ni sehemu ya dunia.
Jumuia za kimataifa zipewe meno za kuwaeliminate watawala wote duniani wenye viashiria vya uvunjifu wa amani sababu ya malezi mabovu utotoni,hii itaeupusha jumuiya za kimataifa kuingia gharama kubwa za kusawazisha Mambo pakichafuka.
USA ya Sasa haitaki wakimbizi wapya toka Tanzania pindi wapinzani wakichoka na uonevu wa CCM wakaamua kupambana kudai haki zao kwa lazima.
 
Awa nao siku hizi wana maneno tu, hatuoni hatua yeyote wanayochukua zaidi ya maneno tu.
Corona imewavuruga marekani nina imani hali ikitulia huo lazima watakuja na Azimio kali dhidi ya utawala wa Naibu Rais Bashite na mtukufu
 
Kulala halali Mkuu usiku kucha yuko mitandaoni kuangalia kaandikwaje, kudukuwa simu za watu mbali mbali na kupretend kupitia mafaili aliyoyajaza kitandani.

ITATEGEMEA AMEAMKAJE SIKU HIO.
 
Corona imewavuruga marekani nina imani hali ikitulia huo lazima watakuja na Azimio kali dhidi ya utawala wa Naibu Rais Bashite na mtukufu
Wawapige totally ban igp na cdf plus wakuu wote wanufaika wa udhalimu kuingia USA au ulaya,sijui watatibiwa wapi
 
Kuna watu wana kibri kama wataishi milele,kumbuka kwa haya yote unayowafanyiya wenzako ipo siku utaachia madaraka, au utakufa.sijui kama kungekuwa kunakuishi milele ukatili wa binadamu ungepindukia kiasi gani
Walikuwepo akina Gadafi, Sadam Hussein, Bokasa, chiluba, mabutu, Abacha , Elbashiri, Idd Amin Dada leo wapo wapi?
 
Ya corona yameshimda wamegeukia ya demokrasia wanapata taabu sana.
Corona haijawashinda wanaendelea kuidhibiti lakini Tanzania mmegoma kutangaza wagonjwa ili corona isambae kwa wingi waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa waogope kuja Tanzania ili CCM wafanye uchakachuaji wizi wa kura bila wa kuwauliza
 
Yaani hawa ndio wanazidi kuwaharibia kabisa wapinzani.
Wapiga kura wengi tunawachukia sana vibaraka wa mabeberu.
Wapiga kura wa wapi hao? Hakuna mpiga kura mwenye Akili timamu anakubali kumwita mwanaume mwenzake Beberu, ni CCM pekee wamejitoa fahamu na kuwaita wanaume wenzao mabeberu na wao kubakia kuwa mbuzi jike.
 
Back
Top Bottom