Pre GE2025 Ubalozi wa Marekani: Tumeshtushwa na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi kuwadhibiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 3070012

Tumeshtushwa sana na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakamata viongozi wa Chama cha siasa cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, washiriki vijana, na waandishi wa habari kabla ya mikusanyiko iliyopangwa kufanyika Mbeya katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Vijana.

Matumizi haya ya nguvu kupita kiasi yalisababisha baadhi ya wanachama wa chama hicho cha upinzani kuumizwa vibaya na kuhitajika kulazwa hospitalini.

Uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani, na haki ya kupata mchakato wa haki ni haki za msingi, na serikali zote zina jukumu la kudumisha misingi hii ya kidemokrasia.

Tunaunga mkono wito wa mashirika ya kiraia ya Tanzania na tunaihimiza serikali ya Tanzania kuheshimu katiba yake, na kuhakikisha mazingira salama na wazi ya kisiasa ambapo sauti zote zinakuwa huru kushiriki.
............................

Statement from the U.S Embassy to Tanzania:

We are appalled by credible reports that police used excessive police force during recent arrests of leaders of the political party CHADEMA, youth participants, and journalists in the lead-up to planned gatherings in Mbeya on International Youth Day. The injuries sustained resulted in the hospitalization of some opposition party members.

Freedom of expression, peaceful assembly, and the right to due process are fundamental rights, and all governments have a responsibility to uphold these democratic principles.

We echo the calls of Tanzanian civil society organizations and urge the government of Tanzania to uphold its constitution, and ensure a safe and open political space where all voices are free to participate.

Pia soma=> Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?
Daah Mama kapaniki kiukweli maana hakukua na haja yoyote kutokea kilichotokea.
 
Polisi imewapa kiki ya bure CHADEMA. Hawa CHADEMA walikuwa wanahitaji mno haya mambo yatokee na kweli wamefanikiwa. Kama kulikua na viashiria vya uvunjifu wa amani polisi wangezuia tu hiyo mikusanyiko bila kuwapiga wafuasi wa Mbowe.
Hamna kitu kama hicho . Ccm waneogopa Moto wao. Kila kitu kinapangwa
 
Hao msingi wao wa kuitawala dunia ni wagawe uwatawale. Kumbuka hilo.
Wamegawa kinani
Naona umekariri hii hoja juu Us Unataka kuingiza Kila mahali bila kupima Kama robot

Us ndo imeagiza Polsi ipige raia wake wenyewe na kwa silaha kali ambao hawakuwa hata na jiwe mkononi

Inaonyesha akili zako ziko setup Kama robot haziwezi kuhoji nje Mfumo wake
 
Machoko tu hao, watie mat,,... ko oni mwao hayo maelekezo she*&%$#nzy
Taip
Mama mpaka 20300000 hukoooo
 
Superpower ya marekani + People's power ya Tanganyika = m'beba maono Donald Trump na m'beba maono Tundu Lissu .
 
View attachment 3070012

Tumeshtushwa sana na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakamata viongozi wa Chama cha siasa cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, washiriki vijana, na waandishi wa habari kabla ya mikusanyiko iliyopangwa kufanyika Mbeya katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Vijana.

Matumizi haya ya nguvu kupita kiasi yalisababisha baadhi ya wanachama wa chama hicho cha upinzani kuumizwa vibaya na kuhitajika kulazwa hospitalini.

Uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani, na haki ya kupata mchakato wa haki ni haki za msingi, na serikali zote zina jukumu la kudumisha misingi hii ya kidemokrasia.

Tunaunga mkono wito wa mashirika ya kiraia ya Tanzania na tunaihimiza serikali ya Tanzania kuheshimu katiba yake, na kuhakikisha mazingira salama na wazi ya kisiasa ambapo sauti zote zinakuwa huru kushiriki.
............................

Statement from the U.S Embassy to Tanzania:

We are appalled by credible reports that police used excessive police force during recent arrests of leaders of the political party CHADEMA, youth participants, and journalists in the lead-up to planned gatherings in Mbeya on International Youth Day. The injuries sustained resulted in the hospitalization of some opposition party members.

Freedom of expression, peaceful assembly, and the right to due process are fundamental rights, and all governments have a responsibility to uphold these democratic principles.

We echo the calls of Tanzanian civil society organizations and urge the government of Tanzania to uphold its constitution, and ensure a safe and open political space where all voices are free to participate.

Pia soma=> Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?
Mbona kiingereza hili ni kama hakitoshi kwa Ubalozi wa Marekani?
 
Mbona hawashitushwi na kutoa tamko jeshi la Israel linapoendesha genocide huko Gaza? Watu zaidi ya 30 elfu wameuawa, mbona hawajastushwa na kutoa tamko? Waache ubeberu.
 
View attachment 3070012

Tumeshtushwa sana na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakamata viongozi wa Chama cha siasa cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, washiriki vijana, na waandishi wa habari kabla ya mikusanyiko iliyopangwa kufanyika Mbeya katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Vijana.

Matumizi haya ya nguvu kupita kiasi yalisababisha baadhi ya wanachama wa chama hicho cha upinzani kuumizwa vibaya na kuhitajika kulazwa hospitalini.

Uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani, na haki ya kupata mchakato wa haki ni haki za msingi, na serikali zote zina jukumu la kudumisha misingi hii ya kidemokrasia.

Tunaunga mkono wito wa mashirika ya kiraia ya Tanzania na tunaihimiza serikali ya Tanzania kuheshimu katiba yake, na kuhakikisha mazingira salama na wazi ya kisiasa ambapo sauti zote zinakuwa huru kushiriki.
............................

Statement from the U.S Embassy to Tanzania:

We are appalled by credible reports that police used excessive police force during recent arrests of leaders of the political party CHADEMA, youth participants, and journalists in the lead-up to planned gatherings in Mbeya on International Youth Day. The injuries sustained resulted in the hospitalization of some opposition party members.

Freedom of expression, peaceful assembly, and the right to due process are fundamental rights, and all governments have a responsibility to uphold these democratic principles.

We echo the calls of Tanzanian civil society organizations and urge the government of Tanzania to uphold its constitution, and ensure a safe and open political space where all voices are free to participate.

Pia soma=> Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?
Hawa nao.hawaachi vituko wanauliwa wanawake na watoto Gaza huko wako kimya na zaidi wanapeleka mabomu halafu huku wanapiga kelele ooh nguvu kubwa kukamatwa na wale kule Gaza hawana haki ya kuishi au israel inatumia nguvu ndogo kuwaua wapalestina wanafiki wakuu hawa jamaa.
 
Wewe kwa akili yako unafikiri huyo Balozi wa US atafanyanini? Slavery mentality inakusumbua. Badala ya kuwategemea watz unawaza kuwategemea mabeberu unafikiri watawasaidia kuchukua nchi au?!
Usiwapuuze wala usiwabeze Marekani, wanatufahamu vizuri zaidi kuliko sisi Watanzania tunavyowafahamu wao.

Aidha, Marekani Wana mbinu nyingi sana za kuweza kutudhibiti sisi. Tawala nyingi sana kama siyo zote kabisa zilizopo barani Afrika zinaweza kuhujumiwa kwa urahisi Sana na Marekani, tusiwabeze hata kidogo. Yaani ni Bora tukae kimya bila kujibizana nao hao Watu. Wakiamua kutuhujumu ni kazi ndogo kabisa kwao.
 
Safi, tunataka statements za aina hii.

Hivi huyu Awadhi ana amani ya moyo kweli. Angalie Mahita, Zombe na Muroto wapo wapi hivi sasa.
Si wamesema watamshitaki yeye binafsi
 
Hawajashtushwa na Trump kutaka kuuwawa??

Haya mabeberu bwana, kwa kuzuga tu hayajambo.
 
Ubalozi wetu utoe tamko la kulaani attempted homicide on D Trump. katika kipindi cha kampeni za uchaguzi
Jingalao katika ubora wako. İle ni attempted assassination na sio homicide. Na marekani walishughulikia kikamilifu mpaka mkurugenzi wa secret service alilazimika kujiuzulu kwa sababu ya uzembe
 
Back
Top Bottom