digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Jeshi si mnalo?
Pelekeni jeshi Washington mkawatandike, kwanza nyie ni Dona kantre ,wanawasumbua nini?
Mambo yanaanza kidogo kidogo mwisho ni majuto
Unajenga viwanda reli, unanunua ndege na huku ukitegemea, vifaa na matengenezo kutoka kwa mabeberuNenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga saana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
Tanzania tukipigwa vikwazo ndipo watu watagundua hivyo vikwazo havichagua CCM au CHADEMA wote tutakufa njaa. Sasa sijui nani atakuwa ameshinda???
Sijui wewe, kwangu naona tatizo hata kwa waathirika wa hivyo vikwazo.Tatizo siyo nani anaathirika bali nani kasababisha
Unaumwa degedegeHawa jamaaa naanza kuamini huwa wanawatumi vyama vya upinzani kutimiza malengo yao nchini, ona sasa leo wanasema wasimamizi walivitenga vyama vya upinzani wakati vyama vyernyewe havikuwapa ushirikiano wagombea wa namna nzuri ya kujaza fomu
Sijui wewe,kwangu naona tatizo hata kwa waathirika wa hivyo vikwazo.
Halafu kwenye bajeti inakinga bakuli!Utasikia Tanzania ni nchi huru haipangiwi
waambien Wamarekani waache kiherehere. Wakiendelea na hiyo hali serikali ya maccm itasitisha msaada wa kifedha kwenye taifa lao halafu baadae tuanze kulaumiana.Mambo yanaanza kidogo kidogo mwisho ni majuto
Unataka wachukue hatua gani, na wakichukua hizo hatua wote tutaharibikiwa hata wewe shabiki wao huioni Libya.Chukueni hatua na nyie US bwana!
Nilitembea Zimbabwe chozi linaweza kutoka ukiona jinsi maisha ya mwananchi yalivyoporomoka lakini waliosababisha matatizo wanaishi vizuri tu kwahiyo inabidi tuchukue kama somo jinsi ya kupata suluhisho matatizo yetu la sivyo wote tutaumia. Kuna watu hawataelewa hadi yawakute.Ofcourse lazima athari ziwepo hasa kwa wananchi.
Ili kuepusha athari ni vizuri kuahughikia chanzo cha tatizo. Tinatibu lakini kinga ni bora..
Na hiki walichokifanya ni kazi yao piaWafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Bila wao ww usingekua hapa! Tuliza boli
Wakinyoosha hawa miungu watu peke yao bila kuathiri wananchi nitawaona wa maana zaidi.Nenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga saana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
Ni kweli hakuna mbabe juu ya hawa jamaa. Wakiamua kukunyong'onyeza kwa vikwazo vya kiuchimi huna jinsi Bali lazima tu utaadhiririka achilia mbali raslimali zako. Tuangaliye kwa mataifa mengine mfano wa Iran nk.Nenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga saana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!