Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

Nenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga saana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
Unajenga viwanda reli, unanunua ndege na huku ukitegemea, vifaa na matengenezo kutoka kwa mabeberu
 
Tanzania tukipigwa vikwazo ndipo watu watagundua hivyo vikwazo havichagua CCM au CHADEMA wote tutakufa njaa. Sasa sijui nani atakuwa ameshinda?
 
Tatizo siyo nani anaathirika bali nani kasababisha
Tanzania tukipigwa vikwazo ndipo watu watagundua hivyo vikwazo havichagua CCM au CHADEMA wote tutakufa njaa. Sasa sijui nani atakuwa ameshinda???
 
Hawa jamaaa naanza kuamini huwa wanawatumi vyama vya upinzani kutimiza malengo yao nchini, ona sasa leo wanasema wasimamizi walivitenga vyama vya upinzani wakati vyama vyernyewe havikuwapa ushirikiano wagombea wa namna nzuri ya kujaza fomu
Unaumwa degedege
 
Of course lazima athari ziwepo hasa kwa wananchi.

Ili kuepusha athari ni vizuri kuahughikia chanzo cha tatizo. Tinatibu lakini kinga ni bora..
Sijui wewe,kwangu naona tatizo hata kwa waathirika wa hivyo vikwazo.
 
Mambo yanaanza kidogo kidogo mwisho ni majuto
waambien Wamarekani waache kiherehere. Wakiendelea na hiyo hali serikali ya maccm itasitisha msaada wa kifedha kwenye taifa lao halafu baadae tuanze kulaumiana.
 
Hivi mungu katusahau kabisa mpaka wamarekani waje kutusaidia kweli hivi hawa CCM wananini mpaka wasione kama wanakosea.
 
Ofcourse lazima athari ziwepo hasa kwa wananchi.

Ili kuepusha athari ni vizuri kuahughikia chanzo cha tatizo. Tinatibu lakini kinga ni bora..
Nilitembea Zimbabwe chozi linaweza kutoka ukiona jinsi maisha ya mwananchi yalivyoporomoka lakini waliosababisha matatizo wanaishi vizuri tu kwahiyo inabidi tuchukue kama somo jinsi ya kupata suluhisho matatizo yetu la sivyo wote tutaumia. Kuna watu hawataelewa hadi yawakute.
 
Tanzania sasa imeshakidhi vigezo vyote vya kufaa kuwekewa vikwazo ili irejeshe sanity katika mfumo wa uongozi katika nchi.

Leo hii ukiangalia yanayofanyika Kenya inafanya Tanzania ionekane nchi takataka kabisa yenye kutawaliwa kihuni na isiyo na mwelekeo wowote.

Marekani waache ngonjera waweke vikwazo kwani Tanzania inaizidi nini nchi kama Iran, Venezuela au Zimbabwe? Si udikteta ni udikteta tu.
 
Nenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga saana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
Wakinyoosha hawa miungu watu peke yao bila kuathiri wananchi nitawaona wa maana zaidi.
 
Nenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga saana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
Ni kweli hakuna mbabe juu ya hawa jamaa. Wakiamua kukunyong'onyeza kwa vikwazo vya kiuchimi huna jinsi Bali lazima tu utaadhiririka achilia mbali raslimali zako. Tuangaliye kwa mataifa mengine mfano wa Iran nk.
 
Back
Top Bottom