Konkmaster
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 360
- 291
Aaron Arsenal,
Uwaulize Venezuela, Iran, Zimbabwe and North Korea!
Uwaulize Venezuela, Iran, Zimbabwe and North Korea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikitika sana jinsi tamko lilivyo jepesi
je wewe mama yako baba yako na familia zenu zote mtahamia Marekani?Uwaulize Venezuela,Iran,Zimbabwe and North Korea!
Kidiplomasia utaona uzito wa hilo tamko.Nasikitika sana jinsi tamko lilivyo jepesi
Oyoo read between the lines mkuu. Ni kwamba tumeingia rasmi kwenye club ya watu wanaoshinda kwa zaidi ya 90% . Najua Saddam walimnyofoa kutoka kihandaki kidogo alikokuwa amejificha na Gaddafi walimkwapua kutoka mtaroni, maisha ya despots wajinga ndio huwa yanaishia hivyo. Naijua geopolitics vizuri, kote from middle east to great lakes region, niko vizuri,siwezi kuleta pumba humu.Unawajua Ghadafi n'a Sadam Hussein kilichowakuta au ndio umezinduka Leo [emoji23]
Kwa nini Urusi/ Ujerumani na siyo Marekani?Hata najiuliza swali la kuwa kumbe Demokrasia ni mali ya Marekani?
Kwanini Ubalozi wa Marekani na si Urusi/Ujerumani?
NRA ya DOVUTWAKwani CCM ilishindana na chama kipi?
Sadam alinyofolewa toka kwenye kihandaki na wanajeshi wa Marekani na kumkabidhi kwa wapenzi wake wananchi waliomhukumu na kumnyonga. Gaddafi alikamatwa na vijana wapenzi wake ambao walimfira kwanza ndo wakamwuuwa.Oyoo read between the lines mkuu. Ni kwamba tumeingia rasmi kwenye club ya watu wanaoshinda kwa zaidi ya 90% . Najua Saddam walimnyofoa kutoka kihandaki kidogo alikokuwa amejificha na Gaddafi walimkwapua kutoka mtaroni, maisha ya despots wajinga ndio huwa yanaishia hivyo. Naijua geopolitics vizuri, kote from middle east to great lakes region, niko vizuri,siwezi kuleta pumba humu.
Oyoo read between the lines mkuu. Ni kwamba tumeingia rasmi kwenye club ya watu wanaoshinda kwa zaidi ya 90% . Najua Saddam walimnyofoa kutoka kihandaki kidogo alikokuwa amejificha na Gaddafi walimkwapua kutoka mtaroni, maisha ya despots wajinga ndio huwa yanaishia hivyo. Naijua geopolitics vizuri, kote from middle east to great lakes region, niko vizuri,siwezi kuleta pumba humu.
.....Mambo yanaanza kidogo kidogo mwisho ni majuto
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! naanza kuona mwangaTunakoelekea ni kubaya kinachotokea congo,libya na sudan zinahamia Tz
Mambo yanaanza kidogo kidogo mwisho ni majuto
Na sisi tuache kuwaomba misaada. Misaada wa tupe alafu wasiingilie mambo yetu? hehehe hakuna cha bure dunia hiiWafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Wanakera sana yaani nikusikitika tu.Chukueni hatua na nyie US bwana!
Eti jamani mara waseme wametiwa hofu mara wamesikitishwa jamani tumechoka na misemo yao huu mwaka unaishia statement zao ni hizo hizo tu khaa!Wanakera sana Yaaani nikusikitika tuuuu u