Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumesikia' tunaomba kama wapinzani wanavyoishia kwenye matamko na kubadili Gia na nyinyi muishie kwenye matamko na kusikitishwa. Hivi hili ni tamko la ngapi tangu tupate uhuru?
As long as bado tunachukua misaada yao hatuna budi kutii na kufuata wanayotuambia, mkijifanya mnatunisha kifua kama kigwangala watazuia misaada na watataka muwalipe hela zote walizo wakopesha, kumbuka hawa ndio wababe wa dunia kila kitu kinapitia kwao, hivyo wanao uwezo wa kuwaambia wenzao ambao wametokpesha kama vile UAE, EU na hata WB nao wadai hela walizotukopesha, kisha wanatuwekea vikwazo vya kiuchumi ndio akili ikae sawaMuda uliokubaliana nao kwenye misaada yao ndio muda huohuo ulikubali automatically kuwa watakuwa wanakufuatilia kwenye mambo yako ya ndani.
Kama unaubavu funga balozi zao kataa misaada yao na hutoona hizo releases.
CCM baba Lao. Baada ya muda kadhaa watabadilishiwa raisi tutaanza upya kuhesabu matamko.Hawa hawaishiagi kwenye matamko ndugu ipo siku utaona madhara yake
Angalia wasikuwahi kabla ya huo muda wenu coz hawa jamaa hawanaga uvumilivuCCM baba Lao. Baada ya muda kadhaa watabadilishiwa raisi tutaanza upya kuhesabu matamko.
Sawa asante kwa angalizo' endelea na moyo huo huo wa kizalendo mkuu. Wakikosa uvumilivu pia usisite kuendelea na uzalendo kwa nchi yakoAngalia wasikuwahi kabla ya huo muda wenu coz hawa jamaa hawanaga uvumilivu
Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Bila wao ww usingekua hapa! Tuliza boli
Mkuu mimi naona wanatumia Busara nyingi ili wakimshugulikia kichwa Nundu Dunia isione kaonewa.Kichwa Nundu hajui Dunia inaongozwa kutokea Washington.wanahesabu makosa tu na kukusanya ushahidi.Eti jamani .mara waseme wametiwa hofu mara wamesikitishwa jaman tumechoka na misemo yao..huu mwaka unaishia statement zao ni hizo hizo tu khaa!