Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

Tumesikia' tunaomba kama wapinzani wanavyoishia kwenye matamko na kubadili Gia na nyinyi muishie kwenye matamko na kusikitishwa. Hivi hili ni tamko la ngapi tangu tupate uhuru?
 
Uingereza walisha toa tamko, sasa Marekani.
Serikali wakajifanya kiziwi, watasikiziswa kwa nguvu.
Ni vizuri tu sasa tuache propaganda, tukubaliane na wafadhili wetu katika mabo ya msingi kama tunahitaji ushirikiano na misaada yao.
 
Hawa hawaishiagi kwenye matamko ndugu ipo siku utaona madhara yake
Tumesikia' tunaomba kama wapinzani wanavyoishia kwenye matamko na kubadili Gia na nyinyi muishie kwenye matamko na kusikitishwa. Hivi hili ni tamko la ngapi tangu tupate uhuru?
 
Muda uliokubaliana nao kwenye misaada yao ndio muda huohuo ulikubali automatically kuwa watakuwa wanakufuatilia kwenye mambo yako ya ndani.

Kama unaubavu funga balozi zao kataa misaada yao na hutoona hizo releases.
As long as bado tunachukua misaada yao hatuna budi kutii na kufuata wanayotuambia, mkijifanya mnatunisha kifua kama kigwangala watazuia misaada na watataka muwalipe hela zote walizo wakopesha, kumbuka hawa ndio wababe wa dunia kila kitu kinapitia kwao, hivyo wanao uwezo wa kuwaambia wenzao ambao wametokpesha kama vile UAE, EU na hata WB nao wadai hela walizotukopesha, kisha wanatuwekea vikwazo vya kiuchumi ndio akili ikae sawa
 
Tuombee nchi yetu isifikiwe kuwekewa vikwazo kama Zimbabwe, twaweza kubadirika na kurudi katika mfumo mzuri wa demokrasia.
 
Angalia wasikuwahi kabla ya huo muda wenu coz hawa jamaa hawanaga uvumilivu
Sawa asante kwa angalizo' endelea na moyo huo huo wa kizalendo mkuu. Wakikosa uvumilivu pia usisite kuendelea na uzalendo kwa nchi yako
 
Hata na sisi tumesikitishwa na jinsi mlivyosikitishwa.
 
Ubalozi wa Marekani unasikitishwa na masuala ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa hausikitishwi na impeachment inquiry inayoendelea huko kwao.

Unafiki hakika hausomewi vyuoni.
 
42774277,
Ulikuwa unatumikia kifungo cha gereza lipi Mkuu? Na la nchi gani?

Kuhusu hizo namba za uwakilishi wako.
 
rajiih,
Hivi ni kwanini watu huwa mnaamua kujitoa Ufahamu?, mtu ametoa maoni yake juu ya mada iliyoko mezani wewe unamtuhumu na kosa la uvunjifu wa amani!, nani anayetaka kuvunja amani kati ya huyu mwananchi raia mwema na viongozi wa serikali hii dhalimu?, wewe mtu ameshinda kesi mahakamani, mahakama imempa hati ya kukamata mali za mdai wake, anakamata mali, watu wakitoa taarifa kwenye social media mnawaita wachochezi!,
 
Eti jamani .mara waseme wametiwa hofu mara wamesikitishwa jaman tumechoka na misemo yao..huu mwaka unaishia statement zao ni hizo hizo tu khaa!
Mkuu mimi naona wanatumia Busara nyingi ili wakimshugulikia kichwa Nundu Dunia isione kaonewa.Kichwa Nundu hajui Dunia inaongozwa kutokea Washington.wanahesabu makosa tu na kukusanya ushahidi.
 
Back
Top Bottom