Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

Usiongee vitu ambavyo hufahamu.
Sijawahi kuwa Muoga ila Jiwe ndiyo Muoga zaidi ya Demu. Nguvu zake anategemea Majeshi kwa Raia Wake ambao hata hawana hata kirungu mkononi.
 
Sijawahi kuwa Muoga ila Jiwe ndiyo Muoga zaidi ya Demu. Nguvu zake anategemea Majeshi kwa Raia Wake ambao hata hawana hata kirungu mkononi.

Sasa mambo ya uoga yanatoka wapi? Kwa hiyo wewe akili yako kakushikia Trump? Hong Kong ni jimbo la China na hawawezi kufurukuta kwa sababu China sio nchi ya kubeza tena kama ilivyokuwa miaka ya 1950s. FYI Tanzania ni nchi huru sio sehemu ya USA.
 
Nenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga sana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
hahahahaaa,ngoja tuone mkulima anavyoanza kungo'a mabawa ya ndege yetu patamu hapo,itabidi niende Canada nikashuhudie
 
Sasa mambo ya uoga yanatoka wapi? Kwa hiyo wewe akili yako kakushikia Trump? Hong Kong ni jimbo la China na hawawezi kufurukuta kwa sababu China sio nchi ya kubeza tena kama ilivyokuwa miaka ya 1950s. FYI Tanzania ni nchi huru sio sehemu ya USA.
Mbona Unajibu Kibwabwa saana hoja zangu zenye Hoja? Huuwezi Mziki huu Kaa Pembeni.
 
Mbona Unajibu Kibwabwa saana hoja zangu zenye Hoja? Huuwezi Mziki huu Kaa Pembeni.

Kuna mziki gani kama sio ufala? I can guarantee you, wewe ni wale wale ambao hata hawawezi kukidhi mahitaji ya kuishi maisha kama binadamu, unategemea handouts.
 
Kuna mziki gani kama sio ufala? I can guarantee you, wewe ni wale wale ambao hata hawawezi kukidhi mahitaji ya kuishi maisha kama binadamu, unategemea handouts.
Nimekupuuza, hivyo nakusamehe bure.
 
Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wake Nchini Tanzania imetoa tamko lake kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 24, 2019

Imedai kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi kwa kiasi kikubwa waliwatenga Wagombea kutoka vyama vya Upinzani katika mchakato wa Uchaguzi huo

Imeeleza kuwa hali hiyo ya mkanganyiko inazua swali kuhusu uhalali wa mchakato wa uchaguzi na matokeo yake

Imesema kuwa msimamo wa Serikali ya Tanzania kukataa kutoa vibali kwa wakati kwa waangalizi wanaokubalika na Mashirika yenye uzoefu kunapoteza imani zaidi katika mchakato huo

View attachment 1274244
Mbona wao Trump pia walimuingiza madarakani kwa bao la mkono tena la Putin? Tuliwaingilia?
 
Hatujawa Kisiwa Kumbuka. Wewe unaishi Dunia ipi, umeaona alichofanya Trump leo Juu ya China. Don't be stupid.
Sikushangai kwa kuwa huna hoja, yoyote mshazoea matusi na kuzirazira. Afu mnadai democrasia Sasa huo ndio ustupid kama ulikua hujui.
 
Sikushangai kwa kuwa huna hoja, yoyote mshazoea matusi na kuzirazira. Afu mnadai democrasia Sasa huo ndio ustupid kama ulikua hujui.
Wee Kahaba acha kudandia hoja za Wanaume. Mbona safari hii Mmeathiriwa saana, Jiwe anawapasulia bila shaka eeh?
 
Nenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga sana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
JIWE SASA KAWA SIMBA WA VITA
 
Kama Tanzania wamegomea vibali kwa mashirika mengine yanayojihusisha na haki za binadamu, demokrasia watanzania tutakuwa na hali ngumu kisiasa na kiuchumi lakini pia kunaeza kuleta machafuko kwa kukosekana amani nchini mwetu. Tanzania ni democratic country hivyo inatakiwa ifate misingi mikuu ya kidemokrasia km mataifa mengine ya kikaptalisti yanavyofanya au iamuliwe moja kuwa hii ni nchi ya kisoshalisti, monopaty system Kama ilivyokuwa TANU hapo mwanzo.
Tatizo tunapingana na ukweli, hadi wenzetu wanaumizwa!
 
Hao Marekani hawa na jipya, nchi itasonga mbele, sasa hivi nchi iko mikononi mwa simba amezuiwa raslimali hazitoki, wanatafuta njia zote za kuvuruga lakini wameshindwa....rais wa wanyonge baba Magufuli pambana mzee tuko nyuma yako.
 
Ubalozi wa Marekani unasikitishwa na masuala ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa hausikitishwi na impeachment inquiry inayoendelea huko kwao.

Unafiki hakika hausomewi vyuoni.
Kule kwao hakuna cha kusikitikia. Trump anapitia kwenye mfumo wa maamuzi - ndiyo demokrasia hiyo.
 
Kule kwao hakuna cha kusikitikia. Trump anapitia kwenye mfumo wa maamuzi - ndiyo demokrasia hiyo.
Hao sio malaika wa kuwapangia mataifa mengine namna za kujiendesha, wamezoea kuweka marais wanaowataka wao kule Amerika ya Kusini.
 
Back
Top Bottom