Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Sijawahi kuwa Muoga ila Jiwe ndiyo Muoga zaidi ya Demu. Nguvu zake anategemea Majeshi kwa Raia Wake ambao hata hawana hata kirungu mkononi.Usiongee vitu ambavyo hufahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuwa Muoga ila Jiwe ndiyo Muoga zaidi ya Demu. Nguvu zake anategemea Majeshi kwa Raia Wake ambao hata hawana hata kirungu mkononi.Usiongee vitu ambavyo hufahamu.
Sijawahi kuwa Muoga ila Jiwe ndiyo Muoga zaidi ya Demu. Nguvu zake anategemea Majeshi kwa Raia Wake ambao hata hawana hata kirungu mkononi.
hahahahaaa,ngoja tuone mkulima anavyoanza kungo'a mabawa ya ndege yetu patamu hapo,itabidi niende Canada nikashuhudieNenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga sana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
Mbona Unajibu Kibwabwa saana hoja zangu zenye Hoja? Huuwezi Mziki huu Kaa Pembeni.Sasa mambo ya uoga yanatoka wapi? Kwa hiyo wewe akili yako kakushikia Trump? Hong Kong ni jimbo la China na hawawezi kufurukuta kwa sababu China sio nchi ya kubeza tena kama ilivyokuwa miaka ya 1950s. FYI Tanzania ni nchi huru sio sehemu ya USA.
Jiwe hawawezi wale, achezi naTanzania ambayo ina Vivuli vya Watu na si Watu.hahahahaaa,ngoja tuone mkulima anavyoanza kungo'a mabawa ya ndege yetu patamu hapo,itabidi niende Canada nikashuhudie
Mbona Unajibu Kibwabwa saana hoja zangu zenye Hoja? Huuwezi Mziki huu Kaa Pembeni.
Nimekupuuza, hivyo nakusamehe bure.Kuna mziki gani kama sio ufala? I can guarantee you, wewe ni wale wale ambao hata hawawezi kukidhi mahitaji ya kuishi maisha kama binadamu, unategemea handouts.
Sina sababu ya kusamehewa na lofa anayetegemea handouts.Nimekupuuza, hivyo nakusamehe bure.
Ndicho ulichobaki nacho Kichwani Mwako. Ni Vema nikuchukulie Kama mwehu fulani. Inatosha hivyo.Sina sababu ya kusamehewa na lofa anayetegemea handouts.
Mbona wao Trump pia walimuingiza madarakani kwa bao la mkono tena la Putin? Tuliwaingilia?Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wake Nchini Tanzania imetoa tamko lake kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 24, 2019
Imedai kuwa Wasimamizi wa Uchaguzi kwa kiasi kikubwa waliwatenga Wagombea kutoka vyama vya Upinzani katika mchakato wa Uchaguzi huo
Imeeleza kuwa hali hiyo ya mkanganyiko inazua swali kuhusu uhalali wa mchakato wa uchaguzi na matokeo yake
Imesema kuwa msimamo wa Serikali ya Tanzania kukataa kutoa vibali kwa wakati kwa waangalizi wanaokubalika na Mashirika yenye uzoefu kunapoteza imani zaidi katika mchakato huo
View attachment 1274244
Sikushangai kwa kuwa huna hoja, yoyote mshazoea matusi na kuzirazira. Afu mnadai democrasia Sasa huo ndio ustupid kama ulikua hujui.Hatujawa Kisiwa Kumbuka. Wewe unaishi Dunia ipi, umeaona alichofanya Trump leo Juu ya China. Don't be stupid.
Wee Kahaba acha kudandia hoja za Wanaume. Mbona safari hii Mmeathiriwa saana, Jiwe anawapasulia bila shaka eeh?Sikushangai kwa kuwa huna hoja, yoyote mshazoea matusi na kuzirazira. Afu mnadai democrasia Sasa huo ndio ustupid kama ulikua hujui.
JIWE SASA KAWA SIMBA WA VITANenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga sana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
Kule kwao hakuna cha kusikitikia. Trump anapitia kwenye mfumo wa maamuzi - ndiyo demokrasia hiyo.Ubalozi wa Marekani unasikitishwa na masuala ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa hausikitishwi na impeachment inquiry inayoendelea huko kwao.
Unafiki hakika hausomewi vyuoni.
Hao sio malaika wa kuwapangia mataifa mengine namna za kujiendesha, wamezoea kuweka marais wanaowataka wao kule Amerika ya Kusini.Kule kwao hakuna cha kusikitikia. Trump anapitia kwenye mfumo wa maamuzi - ndiyo demokrasia hiyo.