Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Nimeshayapeleka usiwe na wasiwasi.Hayo majibu kayapeleke Ubalozi wa Marekani,lilipotoka tangazo
😆😆😆😆Tulishawaambia vijana wengi humu kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Jikite kwenye mada wewe mgerasiNimeshayapeleka usiwe na wasiwasi.
Kivipi?Jikite kwenye mada wewe mgerasi
Acha porojo wewee myebusi jikite kwenye mada na ufanye kaziKivipi?
Jiwe bila kujua, akajimezesha ndoano...tukisema mshikaji ni KILAZA muwe mnatuelewaTamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu.
Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine.
Hakika mwaka huu kuna makubwa yaja tena yaja kisayansi kabisa.
View attachment 1341947
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela za sosho umeshazimaliza?Acha porojo wewee myebusi jikite kwenye mada na ufanye kazi
Kama kile vipeperushi vichafu vyaa Uhuru na Mzalendo, au vipi?Hicho ni kipeperushi tu kama vipeperushi vingine!
Kumbuka leo 31st na zinatolewa mara mbili kwa mwezi. Mimi sili sosho ila mimi nachangia kwenye sosho kwa kulipa kodi.Hela za sosho umeshazimaliza?
Haya, sawa.Kumbuka leo 31st na zinatolewa mara mbili kwa mwezi. Mimi sili sosho ila mimi nachangia kwenye sosho kwa kulipa kodi.
Leo waliopokea sosho wanawapa ahueni security guards masupermarket no shoplifting. Acha ifike j5 itakapoisha sosho ama kupungua.
Chakaza,
Urafiki Wetu wa ukaribu sana na China huku tukiwapa Fursa nyingi za Kiuchumi na Kiuwekezaji ndiko kunapelekea Siku hizi Tanzania kuanza Kuchukiwa, Kughasiwa na Kutishwa huku na Marekani.
Yanayotokea sasa katika Awamu ya Magufuli yalikuwepo hata katika Awamu za Mkapa na Kikwete ila Wamarekani hawa hawa walinyamaza ila leo wanaibuka kupitia ' angle ' ya Demokrasia na Haki za Kibinadamu katika hali ya ' Kinafiki ' kabisa halafu kuna Watanzania baadhi wanawaamini.
Ni kweli kwamba kunaweza kuwa na ' Changamoto ' kadhaa katika Awamu hii ila naona Wamarekani sasa wana Agenda yao ' Hasi ' kabisa dhidi ya Tanzania kama nchi na Watanzania kwa Ujumla ila kamwe hawatofanikiwa.
Aliyeingia choo cha kike ni zitto zuberi kabwe na genge lake.Na kuhusu WB, kwa nini tunang'ang'ania wakati tunawaita mabeberu, huku tukisema hizo taasisi zinatumika kutuumiza?
Kama tunavuka malengo ya makusanyo na tunafika trl 1 kila mwezi tangu awamu hii iingie madarakani huku tunabana matumizi, madaraja wafanyakazi hatupandishi, rushwa imedhibitiwa SASA kwanini tudhalilike tung'ang'anie mkopo wa trl 1? Hadi Bunge linalalamika sisi kukosa trl 1
Tunasema tunahela, matajiri lakini tunalilia trl 1 kwa ajili ya Elimu? Vipaumbele tuliweka nini? Ndege au Elimu?
mnaojiita Wazalendo inaingia akilini kweli?
Kwani kuna ubaya gani?
Natangaza kumuunga mkono mtu yeyote atakayekuwa tayari kuitoa ccm madarakani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa keshatapeli.
Lile basi limeshafika ufipa au lishauzwa?