Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020.

Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu.

Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine.

Hakika mwaka huu kuna makubwa yaja tena yaja kisayansi kabisa.

View attachment 1341947

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe bila kujua, akajimezesha ndoano...tukisema mshikaji ni KILAZA muwe mnatuelewa
 
huku kijijini N'gwashilalage tulishahau kama kuna watu wanaitwa wanasiasa wa upinzani ila tunawakaribisha waje mapema na sio kusubiri msimu wa uchaguzi! Hata kama tume ya uchaguzi itateuliwa na Mnyika au Dovutwa kusema kweli huku tunajua maendeleo hayana chama na JPM ni raisi wa woote!
 
Hela za sosho umeshazimaliza?
Kumbuka leo 31st na zinatolewa mara mbili kwa mwezi. Mimi sili sosho ila mimi nachangia kwenye sosho kwa kulipa kodi.

Leo waliopokea sosho wanawapa ahueni security guards masupermarket no shoplifting. Acha ifike j5 itakapoisha sosho ama kupungua.
 
Kumbuka leo 31st na zinatolewa mara mbili kwa mwezi. Mimi sili sosho ila mimi nachangia kwenye sosho kwa kulipa kodi.

Leo waliopokea sosho wanawapa ahueni security guards masupermarket no shoplifting. Acha ifike j5 itakapoisha sosho ama kupungua.
Haya, sawa.
 
Mi nna hasra sana na JPM na serikali yake!haiwezekani anataka kuwaua wanangu kwa njaa hivihivi!!!toka 2015,hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi wala increment!!!!
Hapa lazma niwaunge mkono USA!
Chakaza,
Urafiki Wetu wa ukaribu sana na China huku tukiwapa Fursa nyingi za Kiuchumi na Kiuwekezaji ndiko kunapelekea Siku hizi Tanzania kuanza Kuchukiwa, Kughasiwa na Kutishwa huku na Marekani.

Yanayotokea sasa katika Awamu ya Magufuli yalikuwepo hata katika Awamu za Mkapa na Kikwete ila Wamarekani hawa hawa walinyamaza ila leo wanaibuka kupitia ' angle ' ya Demokrasia na Haki za Kibinadamu katika hali ya ' Kinafiki ' kabisa halafu kuna Watanzania baadhi wanawaamini.

Ni kweli kwamba kunaweza kuwa na ' Changamoto ' kadhaa katika Awamu hii ila naona Wamarekani sasa wana Agenda yao ' Hasi ' kabisa dhidi ya Tanzania kama nchi na Watanzania kwa Ujumla ila kamwe hawatofanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kuhusu WB, kwa nini tunang'ang'ania wakati tunawaita mabeberu, huku tukisema hizo taasisi zinatumika kutuumiza?

Kama tunavuka malengo ya makusanyo na tunafika trl 1 kila mwezi tangu awamu hii iingie madarakani huku tunabana matumizi, madaraja wafanyakazi hatupandishi, rushwa imedhibitiwa SASA kwanini tudhalilike tung'ang'anie mkopo wa trl 1? Hadi Bunge linalalamika sisi kukosa trl 1

Tunasema tunahela, matajiri lakini tunalilia trl 1 kwa ajili ya Elimu? Vipaumbele tuliweka nini? Ndege au Elimu?

mnaojiita Wazalendo inaingia akilini kweli?
Aliyeingia choo cha kike ni zitto zuberi kabwe na genge lake.
Mmejiweka wazi kwa wapiga kura wazakendo wa nchi hii.

Na time will tell!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wangu ana akili sana aliwaita mbarozi kumbe anataka kujijengea imani kwa mbarozi kuwa amebadilika kumbe alikuwa anatafuta udhamini ili akope kunako bank ya dunia.wamemshitukia haha
 
Back
Top Bottom