Vikwazo kwani aliuawa na serikali ya Tanzania?
Au ndio tuseme wamarekani wana viona mbali kama walivyomuwekea vikwazo DAB wakimtuhumu kuhusika kukatisha uhai wa wengine?
Navyojua serikali yetu imejitahidi sana kujipendekeza kwa wamarekani kwenye hili, ikiwemo kutomshikilia boyfriend wa yule marehemu.
Binafsi nikashangaa inakuwaje boyfriend asishikiliwe wakati ndio alikuwa mtu wa mwisho kuwa na marehemu, huku polisi wakidai bado wanaendelea na uchunguzi?
Nikajisemea vipi kama angekuwa raia wa nchi nyingine kweli polisi wetu wangeweza kumuacha uhuru kwenye mazingira yale?!