Du! Hii ni ngumu kumeza. Fikiria Iran na nguvu zao za kijeshi lakini wanapigwa kama watoto, je wakiipiga Tanzania hali itakuwaje? Watusamehe tu jamani.We can also take further actions as we did to Iran and elsewhere
Endelea kujifariji. Siku zote dua za kuku huwa hazimpati mwewe.Haiji kutokea.
Huyu mzee hana masihara. Akipania jambo lazima alitekeleze.Mtu wa maana sana huyu baba....🤣
Tuombe Mungu vikwazo viwaguse wakubwa tu. Watuache kwanza raia tupambane na bei ya mafuta na ugumu wa maisha.Hivyo vikwazo visiwe vya nchi nzima, viishie kwa hao viongozi binafsi, watajifunza namna ya kujali na kulinda usalama wa raia wao ndani na nje ya nchi na pia usalama wa raia wa kigeni
Trump akikamia jambo hana masikhara mkuu. Huyu mzee si mchezo.Matamanio ya kipuuzi sana haya
Mawazo ya kipumbavu sana
Marekani ipo makini sana kwa uhai wa raia wake. Hili la MO29 linafanyiwa kazi na ICC.Kama haijawekea vikwazao kwasababu ya 29 Octoberz huyu si lolote na si chochote
Kama haijawekea vikwazao kwasababu ya 29 Octoberz huyu si lolote na si chochote
Sijawai ona toka nimeumbwa mauaji makubwa namna ile pake leo hii hakuna mtu alie tiwa nyavuniMarekani ipo makini sana kwa uhai wa raia wake. Hili la MO29 linafanyiwa kazi na ICC.
Thamani ya mtu ninacho zungumzia10/29 kuna mmarekani yoyote alirudhiriwa kwani? ,,,
Wakati uchunguzi unaendelea na vikwazo navyo vinaendelea.Wafanye uchunguz si wana ma CIA kule.
Mkuu thamani ya mmarekani 1 = thamani ya watanzania 1,000,000.Thamani ya mtu ninacho zungumzia
Alitakiwa kulindwa na serikali ya Tanzania mkuu. Failure to that, ni vikwazo tu; hakuna kitu kingine.Vikwazo kwani aliuawa na serikali ya Tanzqnia?
SawaMkuu thamani ya mmarekani 1 = thamani ya watanzania 1,000,000.
Hawawezi kusamehe bure mkuu. Kama wanataka kusamehewa watoe dhahabu au madini mengine ya thamani.Sasa kama papa anaambiwa ni dhaifu, huyu wa kwetu ataambiwaje kuhusu usalama wa raia? US watusamehe tu bure hatuna ubavu wa kuwatunushia wakiaamua kushupalia ishu hii