A Afcon kinanuka JF-Expert Member Joined Apr 5, 2026 Posts 1,623 Reaction score 4,213 Apr 16, 2026 #41 Itakuwa jambo la maana sana samia kuwekewa vikwazo kusafiri.maana katuharibia sana nchi yetu ya Tanganyika
Itakuwa jambo la maana sana samia kuwekewa vikwazo kusafiri.maana katuharibia sana nchi yetu ya Tanganyika
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 5,779 Reaction score 7,771 Apr 16, 2026 #42 JF rest in peace.Kutoka kuwa forum ya great thinkers mpaka kuwa forum iliyovamiwa na wajinga wajinga.Huwa siamini sana kwenye censorship lakini upuuzi mwingine sio wa kuvumilia.Moderators do the needful.
JF rest in peace.Kutoka kuwa forum ya great thinkers mpaka kuwa forum iliyovamiwa na wajinga wajinga.Huwa siamini sana kwenye censorship lakini upuuzi mwingine sio wa kuvumilia.Moderators do the needful.