Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Hamna uwezo huo wa kuwamulika maana bila hao hamuwezi kujitegemea
 
Acha hizo, usjitie hamnazo, maelekezo sasa hivi hospitalini hata kama una covid-19 itaandikwa umekufa kwa kisukari au pressure...endeleeni kuwadanganya wadanganyika!
Ulichoandika ndio unahalalisha mtu kupost picha za watu kwa lengo la kuonyesha kuwa ni wahanga wa Covid 19 bila uhakika na kuheshimu privacy yao?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…