Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka LOCKODOWN... tuandamane hadi tuipate!Taarifa za Covid-19 zinafichwa au kuzimwa kwa watu kulazimishwa kujitibia home kwa KUPIGA NYUNGU na KUFUKIZA....!! Nyungu na Fukiza zikigoma ujue unaondoka.....kumbuka yule mama Wakili aliyeacha ujumbe wa....."HEWA HAITOSHI" HIVO ALISHINDWA KUJIPIGANIA mwenyewe kupambana na Covid-19 kwa nyungu...!!!!
We wazungu walishakufanya nini? Ipo siku watakuharibu utashindwa kwenda hata ufipa.Mungu wabariki Wazungu
Tunataka LOCKODOWN... tuandamane hadi tuipate!
Karibu bibie,tulikumiss kweli kweli.
Mumeo hajambo??
Uwezo upo mkuu wewe subiri utaona hivi karibuniHamna uwezo huo wa kuwamulika maana bila hao hamuwezi kujitegemea
Data hizi umetoa wapi?40% ya wamarekani weupe hawana ajira
Endeleeni kuwalamba viatu hao wauaji
Doesnt matter. Tanzania ni dola huru.Pia sisi ndiyo tunaowapa mikopo na misaada ya fedha kupitia TAAID au TMCC
Wafuasi na wanachama wa Chadema baada ya kujua wanaenda kukosa ruzuku baada ya Chadema kufa. Wanachofanya ni kuiombea mabaya Tanzania.Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
View attachment 1466746
Watupe mrejesho wa kifo cha yule black ndo waje hapaHawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
usiende mbali, hapa Zanzibar pekee ambapo taarifa zilikuwa walau ni za uwazi zaidi ukilinganisha na Tanganyika..... hadi tarehe 7 May kulikuwa na maambukizi ya watu 134.You must Think big brother!
Wale tunaopakana nao na wako kwa Lockdown k.m. Kenya, Uganda, Rwanda, RSA, n.k. Maumbikizi yanapanda graph kila kukicha....Iweje weye usiye na Lockdown ukose kuwa Covid-19?
JPM anafanya maigizo ya kuihadaa dunia!
Mkuu, ulikuwa wapi? Naona umerudi kwa KISHINDO!Huna hata aibu kwa kuzusha uwongo ?
Mkuchika aliyekuwepo juzi kwenye uwekaji wa jiwe la msingi ikulu Chamwino au Mkuchika yupi
Kweli kabisa ndiyo maana tunawasaidia hao maskiniDoesnt matter. Tanzania ni dola huru.
Hiyo ndio USA.
Hawana cha kuogopa wala kukwepesha.
Hapo wanasisitiza kuwa COVID ipo na inatikisa vizuri tu Tz.
AminaMungu wabariki Wazungu
Nchi yao imewashinda,maandamano kila sehemu wamebaki kudandia ya wengine,anguko la marekani liko karibu.