Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Taarifa za Covid-19 zinafichwa au kuzimwa kwa watu kulazimishwa kujitibia home kwa KUPIGA NYUNGU na KUFUKIZA....!! Nyungu na Fukiza zikigoma ujue unaondoka.....kumbuka yule mama Wakili aliyeacha ujumbe wa....."HEWA HAITOSHI" HIVO ALISHINDWA KUJIPIGANIA mwenyewe kupambana na Covid-19 kwa nyungu...!!!!
Tunataka LOCKODOWN... tuandamane hadi tuipate!
 
Tunataka LOCKODOWN... tuandamane hadi tuipate!

You must Think big brother!
Wale tunaopakana nao na wako kwa Lockdown k.m. Kenya, Uganda, Rwanda, RSA, n.k. Maumbikizi yanapanda graph kila kukicha....Iweje weye usiye na Lockdown ukose kuwa na Covid-19?
JPM anafanya maigizo ya kuihadaa dunia!
 
You must Think big brother!
Wale tunaopakana nao na wako kwa Lockdown k.m. Kenya, Uganda, Rwanda, RSA, n.k. Maumbikizi yanapanda graph kila kukicha....Iweje weye usiye na Lockdown ukose kuwa Covid-19?
JPM anafanya maigizo ya kuihadaa dunia!
usiende mbali, hapa Zanzibar pekee ambapo taarifa zilikuwa walau ni za uwazi zaidi ukilinganisha na Tanganyika..... hadi tarehe 7 May kulikuwa na maambukizi ya watu 134.

Zanzibar inakadiriwa population ya watu 1.5M wakati Tanganyika ni watu approx 55M.
kwa hesabu ndogo tu, maambukizi Tanganyika hadi kufikia tarehe hiyo yatakuwa yalikuwa yamefikia zaidi ya 4,900.
wakati huo Kenya walikuwa 500 tu.

wacha mabeberu watutenge hadi tunyooke hakuna namna!
 
US Embassy is like hawajui nn kinaendelea kwao, watu wanaandamana, hakuna haki kabisa kwa mtu mweusi, wao wanaongelea Covid-19 Tz wakati kwao wagonjwa wako mamilioni na vifo malaki kadhaa. US Embassy in Tz kweli wapuuzi
 
Back
Top Bottom