Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

juzi walivyo m-summon muwakililishi wa Mababeru nilisema hapa lazima Beberu aje tena na bandiko jipya tena kwa lugha ya kibeberu ili ujumbe ufike kwenye makao makuu ya mabeberu kirahisi 🤣 🤣 🤣
Na Kabudi akatutafsiria 😂😂😂😂
 
Hiyo ndio USA.
Hawana cha kuogopa wala kukwepesha.
Hapo wanasisitiza kuwa COVID ipo na inatikisa vizuri tu Tz.
Tatizo ni uelewa wa Manunda wengi
Ukweli ni huu
Baada ya kuitwa kwa Kaimu Balozi wa USA, ulikuwa unategemea nini ???
Maana kutokuwa muelewa napo ni tatizo, kilicho wazi ilibidi , arekebishe hiyo alert yao au tamko Lao ambalo halikufuata protocal.
Na jingine naona lugha pia ni kitu kigumu kwa wengi.
Wakati ule alitaka kuwaaminisha watu kwamba corona ipo na inakuwa kwa kasi , lakini sasa kwa ufupi kasema hakuna taarifa iliyotolewa na Tz toka tarehe 26/29 April hivyo hawawezi kuthibitisha hali ilivyo
Hivyo ametahadharisha endapo hali itakuwa mbaya hospital zetu haziwezi kukabiliana na hali hiyo kama ilivyokuwa hapo awali au tuseme siku za mwanzo.
Tofauti kabisa na kauli yake ya mwanzo kwamba hospitali zimezidiwa.

Mtu akikuchulia nguo chutama usimkimbize
 
Walidhani walivyomwita Kaimu balozi ndio matamko yataisha,wamwite tena kumuuliza vipi sasa mbona umetoa tena na tulikwambia?[emoji3]
Baada ya kuitwa kwa Kaimu Balozi wa USA, ulikuwa unategemea nini ???
Maana kutokuwa muelewa napo ni tatizo, kilicho wazi ilibidi , arekebishe hiyo alert yao au tamko Lao ambalo halikufuata protocal.
Na jingine naona lugha pia ni kitu kigumu kwa wengi.
Wakati ule alitaka kuwaaminisha watu kwamba corona ipo na inakuwa kwa kasi , lakini sasa kwa ufupi kasema hakuna taarifa iliyotolewa na Tz toka tarehe 26/29 April hivyo hawawezi kuthibitisha hali ilivyo
Hivyo ametahadharisha endapo hali itakuwa mbaya hospital zetu haziwezi kukabiliana na hali hiyo kama ilivyokuwa hapo awali au tuseme siku za mwanzo.
Tofauti kabisa na kauli yake ya mwanzo kwamba hospitali zimezidiwa.
 
Baada ya kuitwa kwa Kaimu Balozi wa USA, ulikuwa unategemea nini ???
Maana kutokuwa muelewa napo ni tatizo, kilicho wazi ilibidi , arekebishe hiyo alert yao au tamko Lao ambalo halikufuata protocal.
Na jingine naona lugha pia ni kitu kigumu kwa wengi.
Wakati ule alitaka kuwaaminisha watu kwamba corona ipo na inakuwa kwa kasi , lakini sasa kwa ufupi kasema hakuna taarifa iliyotolewa na Tz toka tarehe 26/29 April hivyo hawawezi kuthibitisha hali ilivyo
Hivyo ametahadharisha endapo hali itakuwa mbaya hospital zetu haziwezi kukabiliana na hali hiyo kama ilivyokuwa hapo awali au tuseme siku za mwanzo.
Tofauti kabisa na kauli yake ya mwanzo kwamba hospitali zimezidiwa.

Nut akikuchukulia nguo zako chutama usimkimbize
Pia amesema hatari ya kupata maambukizi ukiwa Dar na sehemu nyingine ni kubwa.
 
juzi walivyo m-summon muwakililishi wa Mababeru nilisema hapa lazima Beberu aje tena na bandiko jipya tena kwa lugha ya kibeberu ili ujumbe ufike kwenye makao makuu ya mabeberu kirahisi 🤣 🤣 🤣
Ni vizuri ukaficha ujinga wako , usifikiri kila kitu ni sawa na kuchoma mishikaki au kupiga polishi kweli ni huu

Baada ya kuitwa kwa Kaimu Balozi wa USA, ulikuwa unategemea nini ???
Maana kutokuwa muelewa napo ni tatizo, kilicho wazi ilibidi , arekebishe hiyo alert yao au tamko Lao ambalo halikufuata protocal.
Na jingine naona lugha pia ni kitu kigumu kwa wengi.
Wakati ule alitaka kuwaaminisha watu kwamba corona ipo na inakuwa kwa kasi , lakini sasa kwa ufupi kasema hakuna taarifa iliyotolewa na Tz toka tarehe 26/29 April hivyo hawawezi kuthibitisha hali ilivyo
Hivyo ametahadharisha endapo hali itakuwa mbaya hospital zetu haziwezi kukabiliana na hali hiyo kama ilivyokuwa hapo awali au tuseme siku za mwanzo.
Tofauti kabisa na kauli yake ya mwanzo kwamba hospitali zimezidiwa.
 
Pia amesema hatari ya kupata maambukizi ukiwa Dar na sehemu nyingine ni kubwa.
Sasa hapa anakuwa kama mnajimu??
Nakumbuka WHO waliahidi Vifo 200,000 Na maiti kuzaga mitaani ???
Lakini haikutokea,
Na was USA ilivyotokea china wakawashambulia, mpaka china anaweza lockdown Mji wa wuhan, wao USA wakifikiri hayata wakuta na ukimaliza uchumi au bidhaa toka china, Mungu sio Athumani , Leo tunashuhudia wenye hospitali kibao wamezidiwa
 
Sasa hapa anakuwa kama mnajimu??
Nakumbuka WHO waliahidi Vifo 200,000 Na maiti kuzaga mitaani ???
Lakini haikutokea
Mnaficha lakini hospitali za private zina maelezo kamili na idadi ya wanaokufa kwa matatizo ya mfumo wa hewa, vifo hivyo havikuwepo kwa idadi hiyo miaka yote iliyopita.

Bulldozer sna sura mpya ya kutoaminika katika taarifa za serikali.
 
Unazo takwimu, maana hizo taarifa ni kwa ajili ya umma ilimradi usitaje jina la mtu kama Manunda fulani wanavyofanya
 
Mmiliki wa Marangu Coach huyo kavuta jana usiku,mkewe bado yupo kwenye Ventilator hapo hapo Aghakan.View attachment 1466768
Hizi ndio tabia za manunda wa Saccos na waagizaji wazalendo ku post picha za watu bila Idhini yao na kutoa taarifa za watu as if ni ndugu zao kumbe ni rumour mongers wa vijiweni .
Hivi hizo ndio elimu mnazopewa na Mwenyekiti wa Saccos ,?
 
You must Think big brother!
Wale tunaopakana nao na wako kwa Lockdown k.m. Kenya, Uganda, Rwanda, RSA, n.k. Maumbikizi yanapanda graph kila kukicha....Iweje weye usiye na Lockdown ukose kuwa na Covid-19?
JPM anafanya maigizo ya kuihadaa dunia!
Na Pia Kuna wanakutwa na maambukizi huko ambako maabara zao zinafanya kazi, na historia yao ni kuwa wametoka Tanzania.
 
ni aibu sana Korona imedunda kwa wanywa maji ya visima! ni aibu kubwa kwa US kupukutika na pesa ipo nasi watu masikini kuokoka! US kila mtu ni adui yao for now na kila mtu wanamwangushia jumba bovu na kummalizia hasira zao China, WHO, bongo, George Floyd, Hong Kong!! kuna nchi second wave of Corona infections imeanza nikizikumbuka nitarudi hapa!
 
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa tahadhari mpya ya afya

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa tahadhari mpya ya afya na kusisitiza kuwa hatari ya maambukizi ya virusi vya corona bado ipo juu jijini Dar es Salaam.

Tahadhari hiyo iliyotolewa Jumanne jioni na kuchapishwa kwenye tovuti ya ubalozi na mitandao ya kijamii ya ubalozi huo inaendelea kuonya raia wan chi hiyo waliopo Tanzania na hususani jijini Dar es Salaam kuendelea kuchukua tahadhari.

Hatua hiyo inakuja wiki moja toka Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania kumuita na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani Bi Imni Peterson juu ya tahadhari zilizotolewa hapo awali.

Katika taarifa iliyotolewa na serikali baadaye ilieleza kuwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo Wilbert Ibuge alieleza masikitiko yake juu ya namna Ubalozi huo umekuwa ukitoa tahadhari zake.

Suala kuu ambalo wizara ililalamikia ni juu ya ubalozi kudai kuwa hospitali nyingi jijini Dar es Salaam (bila ya kuzitaja hospitali hizo) zimefurika wagonjwa wa COVID-19 jambo ambalo serikali inasema si kweli.

Juu ya suala hilo la kuelemewa kuwa, katika tahadhari hii mpya, ubalozi umeeleza: "Vituo vya afya Tanzania vinaweza kuelemewa kwa haraka katika janga la kiafya. Kumekuwa na nyakati ambazo wakati wa mlipuko wa COVID-19 ambapo hospitali jijini Dar es Salaam zilifikia ukomo kwa kupokea wagonjwa wengi wa COVID-19."

Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Dkt Elisha Osati hivi karibuni aliimbai BBC kuwa mfumo wa afya nchini humo haujaelemewa na corona.

Kama ilivyokuwa awali, tahadhari mpya imeeleza kuwa takwimu mpya za ugonjwa wa corona ikiwemo vifo hazijatolewa nchini Tanzania toka Aprili 29.

corona

Hata hivyo, serikali ya Tanzania imeendelea kusisitiza kuwa kasi ya ugonjwa wa corona imepungua. Kutokana na hali hiyo Rais John Pombe Magufuli ameruhusu kwa baadhi ya shughuli zilizokuwa zimefungwa awali kama ligi kuu ya kandanda, masomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na kidato cha sita kurejea.

Waziri wa Afya wa Tanzania Ummy Mwalimu Jumatatu wiki hii alieleza kuwa "kuna wagonjwa wanne tu wa corona ambao bado wamelazwa hospitali kwa Tanzania Bara."

Tahadhari hiyo inaonya raia wa Marekani kuwa kuna uwezo mdogo wa hospitali nchini Tanzania ambao unaweza kusababisha ucheleweshwaji wa huduma na kuhatarisha Maisha yao.

Ubalozi huo katika tahadhari iliyopita ya Mei 25 ilieleza kuwa hakukuwa na mpango wa karibuni wa kuleta ndege ya kuwaondosha raia wake nchini humo.

Katika tahadhari mpya, umeeleza raia wake kuwa kutokana na serikali ya Tanzania kuruhusu ndege za abiria za kimataifa kurejesha safari zake tayari kuna mashirika ya ndege ambayo yameanza huduma toka Juni 1.

source: BBC
 
Back
Top Bottom