Ukikosa hekima huna la kumwambia mtu kuhusu Mungu maan yeye ana hekimaUnajua huyo mtu ameaongea nini hadi awe wa hovyo au na wewe unadakia tuu kama kasuku?
Mungu hapangiwi na mtu anajua atende nini lini na wapi ni wewe tuu ujue kumwomba
Usiache kuchukua tahadhari
Hii hatari sana watu wa nje wanatujali kuliko wa ndani halafu wanasema mabeberu hawatupendi, kwa nini mnatudanganya.Beberu linaonesha kutujali zaidi ya Baba mwenye nyumba!
Kajichekeshe kwa mashoga wenzio huko, unajua maana ya mtu kua rais?lakini watu mna ujinga mwingi mpaka mnachanganya. haaaaa!!!
kwahiyo kuvaa barakoa
kunawa mikono
kujiepusha na misongamano
na kutulia ndano
ni mpaka uambiwe na rais!!!!!!
Wala hizo sio dini, ni common sense, sasa toka lini kujifukiza kukatibu magonjwa, ni ugonjwa gani uliwahi kuthibitika kua ulipona kwa kujifukiza, mbona sijawahi kusikia serikali ikihimiza kujifukiza kwa magonjwa mengine? Ndio maana tunasema huu ni ushirikina tu.Kujifukiza, kula pilipili na kachumbari ni ushirikina? Hizo dini zimewaharibu kiasi hiki!?
tunakubaliana kwamba mashoga wapo amsterdam.Kajichekeshe kwa mashoga wenzio huko, unajua maana ya mtu kua rais?
Saasa unajichekesha chekesha kwangu umesikia nataka nikupige miti?tunakubaliana kwamba mashoga wapo amsterdam.
na wengine wako ufipani.
hizi stress ukikutwa na corona huchukui round.Saasa unajichekesha chekesha kwangu umesikia nataka nikupige miti?
Nifanyie mpango bc nije kukuuguza😆😆Sema ndugu yangu😃😃😃
Bado Mungu ananibariki kwa afya, sijaugua na namshukuru yeye🙏Nifanyie mpango bc nije kukuuguza😆😆
hakuna ugonjwa mbaya kama kukosa akili nakuapia! sijui unaishije bila akili! hukutakiwa kuishi ktk dunia hii tunayoiopna sasa lkn wewe huioni.Beberu linaonesha kutujali zaidi ya Baba mwenye nyumba!
Hivi kwani ukizingatia haya masharti wanayotoa ya kuwa na tahadhari juu ya magonjwa mbalimbali ukiwemo wa Covid-19 tatizo ni nini? kwani kuna hasara gani ya kuzingatia kanuni za afya za kujikinga na magonjwa mbalimbali?Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.
Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Well said! Hata mimi namshangaa sana huyu mdada kwa vijikauli vyake hivi vya kujikomba kwa watu wanaojua kabisa kuwa CORONA ipo lakini wameamua kupiga siasa ili tu wapate nafuu ya kukwepa majukumu na mwishowe sisi wanannchi wa kawaida akiwemo yeye mama D ndo tunaangamia!Sijui unaandika haya ukiwa wapi, inawezekana umejifungia ndani hujui chochote kinachotokea mtaa wa pili, kwa taarifa yako mkiendekeza hizi taarabu Corona itapokuja kupiga hapo sebuleni kwako ndio utapata akili, now unaisikia kwa majirani ndio maana unaleta utani, na usiombe iwatembelee ndani kwasababu haiondoki na mmoja.
Hiyo tahadhari imetolewa kwa wananchi wao wanaoishi tanzania, sio kwa wapiga zumari wa lumumba kama wewe.Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.
Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Hiyo tahadhari imetolewa kwa wananchi wao wanaoishi tanzania, sio kwa wapiga zumari wa lumumba kama wewe.
Au nilikunukuu vibaya, ulisema jana kuwa upo kuuguza🤔, bt just jokes tu usije nipea laana bureBado Mungu ananibariki kwa afya, sijaugua na namshukuru yeye🙏
Ila wapo wagonjwa wengi wanaohitaji hudama yako, wasaidie🤗
Dada yangu usijibishane na vichaa... wewe ni bora kuliko wao.Kwenye Ile ulopita ulikopita utulivu upo au waruwaru kama Wewe?
Au nilikunukuu vibaya, ulisema jana kuwa upo kuuguza🤔, bt just jokes tu usije nipea laana bure
Si ulitaka kuniuguza? Ndio nimekuambia mimi sio mgonjwaNifanyie mpango bc nije kukuuguza😆😆