Ukikosa hekima huna la kumwambia mtu kuhusu Mungu maan yeye ana hekimaUnajua huyo mtu ameaongea nini hadi awe wa hovyo au na wewe unadakia tuu kama kasuku?
Mungu hapangiwi na mtu anajua atende nini lini na wapi ni wewe tuu ujue kumwomba
Usiache kuchukua tahadhari