#COVID19 Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

#COVID19 Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

Unajua huyo mtu ameaongea nini hadi awe wa hovyo au na wewe unadakia tuu kama kasuku?
Mungu hapangiwi na mtu anajua atende nini lini na wapi ni wewe tuu ujue kumwomba

Usiache kuchukua tahadhari
Ukikosa hekima huna la kumwambia mtu kuhusu Mungu maan yeye ana hekima
 
lakini watu mna ujinga mwingi mpaka mnachanganya. haaaaa!!!

kwahiyo kuvaa barakoa
kunawa mikono
kujiepusha na misongamano
na kutulia ndano

ni mpaka uambiwe na rais!!!!!!
Kajichekeshe kwa mashoga wenzio huko, unajua maana ya mtu kua rais?
 
Kujifukiza, kula pilipili na kachumbari ni ushirikina? Hizo dini zimewaharibu kiasi hiki!?
Wala hizo sio dini, ni common sense, sasa toka lini kujifukiza kukatibu magonjwa, ni ugonjwa gani uliwahi kuthibitika kua ulipona kwa kujifukiza, mbona sijawahi kusikia serikali ikihimiza kujifukiza kwa magonjwa mengine? Ndio maana tunasema huu ni ushirikina tu.
 
Mijitu inaona hali ilivyo nchini ya vifo vinavyotokana na covid lkn bado inaandika upuuzi as if wanaokufa sio binadamu kama wao! this is stupidity.
 
Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Hivi kwani ukizingatia haya masharti wanayotoa ya kuwa na tahadhari juu ya magonjwa mbalimbali ukiwemo wa Covid-19 tatizo ni nini? kwani kuna hasara gani ya kuzingatia kanuni za afya za kujikinga na magonjwa mbalimbali?
 
Sijui unaandika haya ukiwa wapi, inawezekana umejifungia ndani hujui chochote kinachotokea mtaa wa pili, kwa taarifa yako mkiendekeza hizi taarabu Corona itapokuja kupiga hapo sebuleni kwako ndio utapata akili, now unaisikia kwa majirani ndio maana unaleta utani, na usiombe iwatembelee ndani kwasababu haiondoki na mmoja.
Well said! Hata mimi namshangaa sana huyu mdada kwa vijikauli vyake hivi vya kujikomba kwa watu wanaojua kabisa kuwa CORONA ipo lakini wameamua kupiga siasa ili tu wapate nafuu ya kukwepa majukumu na mwishowe sisi wanannchi wa kawaida akiwemo yeye mama D ndo tunaangamia!
Nashangaa hata huyo Mungu wake anayemtaja ni Mungu yupi wa kusikiliza sala za watu wenye kebehi kama huyu? Ubalozi umetoa angalizo, hiki kitu ni sawa na msaada lakini yeye anaponda tu! Kuna wenzetu wengine kiukweli sijui wameumbwa na roho za aina gani???
 
Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Hiyo tahadhari imetolewa kwa wananchi wao wanaoishi tanzania, sio kwa wapiga zumari wa lumumba kama wewe.
 
Bado Mungu ananibariki kwa afya, sijaugua na namshukuru yeye🙏
Ila wapo wagonjwa wengi wanaohitaji hudama yako, wasaidie🤗
Au nilikunukuu vibaya, ulisema jana kuwa upo kuuguza🤔, bt just jokes tu usije nipea laana bure
 
Back
Top Bottom