#COVID19 Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Hivi ni kwanini hili limekuudhi kiasi hicho? Wanatoa tahadhari kwa wananchi wao walioko Tanzania au wanaotaka kuja Tanzania. Hilo ni jukumu lao.
Balozi za Tanzania pia zinatakiwa kututahadharisha watanzania kama kuna matatizo ya kiusalama au viashiria vilivyothibitika vya uvunjifu wa amani, katika nchi zinazotuwakilisha.
 
Kila siku ni mapambano, tunapigana vita vikuu na watakaopambana mpaka mwisho ndio watakao okoka!
Msipalilie woga
"There s Nothing to Fear but Fear Itself"
 
Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Kama wewe sio Jiwe mwenyewe basi ni waziri wake.
 
Na wewe unaugua lini Corona au ni mtoa habari za Corona bila wewe kuugua?
 
Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Mhmm! Wehu kumbe bado wapo!
 
Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Unahitaji maombi
 
Wamarekani wapambane na covid 19 kivyao...wahudumu wa afya marekani wanalalamikia ukosefu wa vifas vya kujikinga namaambukizi .
USA waache kimbelembele cha kutoa matamko yasiyowahusu
 
Inawezekan a roho yake nzur ila uelewa mdogo hafu mahaba yanamfanya aende tu kama bendera- hufuata upepo.
 
Inakera unapoibiwa,,, na aliyekupigisha ni jirani
 
Wwe subiri msaada wa vilainishi kutoka kwa Mabeberu, maana hicho ndiyo unachopenda!!
Hiyo ni kazi ya wazazi wako ndiyo inayo wafanya waishi mjini maana hata kukuzaa wewe ilikuwa ni bahati mbaya
 
Hao hawana lolote zaidi ya kuleta msaada wa Vilainishi kwa wa Africa !
Vinawasaidia wazazi wako ili wajipatie mkate wao wa kila siku na kukufanya wewe kula kulala uendelee kurohoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…