mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
😍🙏Dada yangu usijibishane na vichaa... wewe ni bora kuliko wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍🙏Dada yangu usijibishane na vichaa... wewe ni bora kuliko wao.
Hivi ni kwanini hili limekuudhi kiasi hicho? Wanatoa tahadhari kwa wananchi wao walioko Tanzania au wanaotaka kuja Tanzania. Hilo ni jukumu lao.Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.
Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Kama wewe sio Jiwe mwenyewe basi ni waziri wake.Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.
Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
🙄🙄Kama wewe sio Jiwe mwenyewe basi ni waziri wake.
Na wewe unaugua lini Corona au ni mtoa habari za Corona bila wewe kuugua?Corona inaua sio utani, rafiki kafariki tumemzika mchana, kaanza kuumwa asubuhi shida kupumua mchana kafariki saa tisa tumetoka kumzika, nilivyoona ile misafara ya Coaster inayosindikiza marehemu wao mikoani sina hamu kabisa.
Kama mpaka sasa bado kuna mtu asieamini Tanzania kuna Corona Mungu amrehemu.
Mhmm! Wehu kumbe bado wapo!Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.
Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Wwe subiri msaada wa vilainishi kutoka kwa Mabeberu, maana hicho ndiyo unachopenda!!Akili ndogo kama za chawa
Hao hawana lolote zaidi ya kuleta msaada wa Vilainishi kwa wa Africa !Bakuli lenu wanawajazia hao hao mabeberu baada ya kwenda kuwapigia magoti
Unahitaji maombiHebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.
Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Inawezekan a roho yake nzur ila uelewa mdogo hafu mahaba yanamfanya aende tu kama bendera- hufuata upepo.Well said! Hata mimi namshangaa sana huyu mdada kwa vijikauli vyake hivi vya kujikomba kwa watu wanaojua kabisa kuwa CORONA ipo lakini wameamua kupiga siasa ili tu wapate nafuu ya kukwepa majukumu na mwishowe sisi wanannchi wa kawaida akiwemo yeye mama D ndo tunaangamia!
Nashangaa hata huyo Mungu wake anayemtaja ni Mungu yupi wa kusikiliza sala za watu wenye kebehi kama huyu? Ubalozi umetoa angalizo, hiki kitu ni sawa na msaada lakini yeye anaponda tu! Kuna wenzetu wengine kiukweli sijui wameumbwa na roho za aina gani???
Maombi ndio mpango mzima hata rais John Pombe Magufuli anajuaUnahitaji maombi
Hiyo ni kazi ya wazazi wako ndiyo inayo wafanya waishi mjini maana hata kukuzaa wewe ilikuwa ni bahati mbayaWwe subiri msaada wa vilainishi kutoka kwa Mabeberu, maana hicho ndiyo unachopenda!!
Vinawasaidia wazazi wako ili wajipatie mkate wao wa kila siku na kukufanya wewe kula kulala uendelee kurohojaHao hawana lolote zaidi ya kuleta msaada wa Vilainishi kwa wa Africa !
Wewe??Maombi ndio mpango mzima hata rais John Pombe Magufuli anajua
Mimi naomba na kukuombea wewe usijali
Sasa Wazazi wameingiaje tena kwenye mjadala!?Vinawasaidia wazazi wako ili wajipatie mkate wao wa kila siku na kukufanya wewe kula kulala uendelee kurohoja
Utajua tu kwa kujumlisha na kutoaSasa Wazazi wameingiaje tena kwenye mjadala!?