Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.
Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Habari yako OkwaaaHuwa napenda kukufwatilia but kuna komenti huwa unatyanka kweli kweli, mfano hii hapaπππ
Ww mama D πHabari yako Okwaaa
Sema ndugu yanguπππWw mama D π
Hawaaminiki kwangu kama wasivyotuamini sie.. corona yao, vyombo vyao, teknolojia yao, wataalam wa kwao na wanaamua taarifa zao zipi zifikie walimwengu
Wakuingilie mambo yako ya ndani una kipi wewe hata net za wajawazito wanakupa msaada. Embu ondoa kelele hapa? Ati mambo ya ndani ? Kataa basi na ARV wanazokupa.na zile chanjo za wajawazito na watoto tengenezeni za miti shambaJambo jema kivipi mkuu? Huoni wanaingilia mambo yetu ya ndani ilihali kwao ndio moto unawaka zaidi?
Tahadhari tunachukua popote tulipo, kifo kinatisha, kinaweza kuwa chanzo cha umaskini kwa familia zetu lakini tuutafute ukweli wa madawa tunayopewa.Ila tusipuuze tahadhali Mama D....We have families to feed
Eti Mashoga wanatuchimba Mkwara!? Ebu watuache kwanza waendelee na ndoa zao za njisia moja!!Kumekucha [emoji26]
Who cares, those masters of your are dying like flies.Tumeshindwa kutoa tahadhari wacha mataifa yenye nguvu wafanye hiyo.
Kutukuwepo kwa dawa na chanjo ya uhakika ni jambo moja, na kutoa tahadhari juu ya uwepo wa ugonjwa ni jambo lingine. Hivyo, kutokuwepo kwa chanjo ya uhakika na dawa ya ugonjwa huu hakutoia uhalali wa kufuchwa takwimu za ugonjwa pamoja na halihalisi ya maambukizi kwa umma.
Vichaa wanajulikana nchi hii wapo sehemu gani kama siyo lumumbaWewe ni kichaa unayetakiwa kuvishwa nguo huku ukiwaita wale wazima wanaokusitiri vichaa
Pole lakini
Hivyo vyote unavifanya kwa tatizo gani wakati mmesema kuwa corona hakuna?Watupumzishe!!!!!!
Wacha tufanye taratibu zinavyoagiza huku tukimwomba Mungu
Tusisahau malimao, Tangawizi, pilipili na kupiga nyungu
Na wakati mnavyo kwenda na bakuli lenu kuwaomba msaada mbona hayo mnayasahau?Ukimwona anakusahihisha sana kwamba unakosea inabidi ujiangalie
Mataga wanatagishwa na mabeberuwaandikie barua. malalamishi huku jf hawata yaona.
Nani kasema corona hakunaπ π kwani Mungu alikupatia masikio ya nini? Si angekupea macho na vidole vya kutype tuuπππHivyo vyote unavifanya kwa tatizo gani wakati mmesema kuwa corona hakuna?
Insanetell american embassy that most of majority Tanzanians have no intention to go to Americav because America is not heaven
Kwani mlivyowaambia wasitoe pesa za elimu ndio ulikua mpango wa niniNa wakati mnavyo kwenda na bakuli lenu kuwaomba msaada mbona hayo mnayasahau?
Nasema uongo jamani?Huyu balozi katumwa na mabeberu eee, sisi hatuna COVID hapa, sisi tuna magonjwa ya mfumo wa upumuaji yaani nyumonia....
Ambayo nayo inapona kwa miti shamba kwa asililia 99.999999%
Kuhusu kufa kwani watu wameanza kufa leo?
Watanzania chapeni kazi!!