Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nyinyi mnatuambia kuwa hakuna corona,mnawaambia watu wasivae barakoa.Sijawahi kuidharau corona.
Nachukua tahadhari, nafanya kazi, nakula vinavyoshauriwa na namwomba Mungu pamoja na kukuombea wewe mwenye mawazo mabaya juu ya wengine
Mungu anawona na ipo siku lazima mtalipa kwa mnayo wafanyia watanzania.