#COVID19 Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

#COVID19 Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

Hawa wajapani na wenzao wa EU na USA wangefanya hivyo kule corona ilikoanzia, wakashughulika walau na wale waliohisiwa kuitengeneza, wakatupatia measures walizotumia kupambana na corona zikaonyesha mafanikio kwa nchi zao, wakatuletea watu waliopatiwa chanjo na kuonyesha ni kwa kiasi gani hawawezi tena pata maambukizi tungewaelewa sana

Vinginevyo watakua wanapiga kelele tuu na watasikilizwa na wanaotaka kelele zisizo na suluhu
 
Muhimu ni tahadhari bwashee!
Tahadhari serikali imeshatoa... Tena serikali imeelekeza na dawa za kutumia ili ugonjwa huu usiwe hatari kwako na kwa mwingine.

Bwashee watu tumepatwa na hili gonjwa tukapona kwa maelekezo ya serikali
 
Naandika nikiwa hospitali nauguza.... kama wewe unaweza kuzuia corona Mungu aendelee kukupigania.
Hakuna anayefurahia magonjwa na vifo, na hakuna anayefurahi au anayeweza kukimbia kifo pia
Unaguza mgonjwa wa nini?
 
Sijui unaandika haya ukiwa wapi, inawezekana umejifungia ndani hujui chochote kinachotokea mtaa wa pili, kwa taarifa yako mkiendekeza hizi taarabu Corona itapokuja kupiga hapo sebleni kwako ndio utapata akili, now unaisikia kwa majirani ndio maana unaleta utani, na usiombe iwatembelee ndani kwasababu haiondoki na mmoja.
Wacha iwafagilie mbali maana wamezidi ukahidi kisa teuzi
 
Kwa unavyo idharau corona ujue inakupigia mahesabu
Sijawahi kuidharau corona.

Nachukua tahadhari, nafanya kazi, nakula vinavyoshauriwa na namwomba Mungu pamoja na kukuombea wewe mwenye mawazo mabaya juu ya wengine.
 
Naandika nikiwa hospitali nauguza.... kama wewe unaweza kuzuia corona Mungu aendelee kukupigania.
Hakuna anayefurahia magonjwa na vifo, na hakuna anayefurahi au anayeweza kukimbia kifo pia
Akili zenu hazina tofauti na zile za Kibwetere
 
Wacha iwafagilie mbali maana wamezidi ukahidi kisa teuzi
Wewe itakufagilia wapi Mwamba😆😆😆😆 Hebu tafakari ulivyo na maguvu itakuweza kweli!? Na kama itakufikia itakufalilia karibu au mbali kama wengine!?

Tuchukue tahadhari, tufanye kazi, tule inavyoshauriwa, na tumwombe Mungu sana🙏
 
Akili zenu hazina tofauti na zile za Kibwetere
Tuchukue tahadhari, tufanye kazi, tule inavyoshauriwa, na tumwombe Mungu sana🙏
Na tuache kutakiana mabaya sababu hakuna mwenye nguvu ZA kukimbia kifo
 
Tuchukue tahadhari, tufanye kazi, tule inavyoshauriwa, na tumwombe Mungu sana[emoji120]
Na tuache kutakiana mabaya sababu hakuna mwenye nguvu ZA kukimbia kifo
Mataga kwa kuwa mmekuwa wakahidi subirini msombwe na kimbunga nasi waoga tupo tayari kuwaimbia
 
Wewe itakufagilia wapi Mwamba[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Hebu tafakari ulivyo na maguvu itakuweza kweli!? Na kama itakufikia itakufalilia karibu au mbali kama wengine!?

Tuchukue tahadhari, tufanye kazi, tule inavyoshauriwa, na tumwombe Mungu sana[emoji120]
Nyie mnachukua tahadhali ya nini wakati mnatuaminisha kuwa hakuna corona?
 
Back
Top Bottom