#COVID19 Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

#COVID19 Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

Hela tunazochukua huko ni asilimia ndogo sana ya utajiri wetu waliochukua.

Kwa lugha nyingine sisi ndio tunawadai
Sasa mngebaki nazo zingewasaidia nini sio nyinyi mnakataza vijana kucheza bao sas babu zetu kama walikuwa wanachezea bao almasi huoni kama wamesaidiwa all revolution project kubwa zisingefanyika kama nyny mngeendelea kuchezea bao dhahabu maish ni kutegemeana. Afu nikupe ki2 mtu asie na akili hata akae kwenye resources hawez pata kitu ila mwenye akili alwayz atapata njia kwa hyo usilaumu kupitia simu ambayo wenzio wamechukua madini yako wakuletee upost jf hhhh

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Unajua kuna wakati na wao walikua kama sisi kiteknolojia?

Walipokua hivyo walifanyaje katika kudeal na majanga yaliyokua yakiwakuta? Au hawakua na majanga?

Na je wakikataa kuwafadhili utafanyaje?

Unafikiri ni makosa kuhoji au kutaka kupata maelezo sahihi ya effectiveness ya hizo chanjo eti sababu wewe ni maskini hutakiwi kuhoji???
[emoji849][emoji849][emoji849]
Hawajawahi kuwa sawa na sisi usipotoshe wakisema africa hawamaanishi kila nchi kama hizi zetu ni nchi kama misri ethiopia ambazo mpaka bible inazitambua. Na kwa project za afya ambazo wamefanya na nyingne wakatufundisha huezi sema tulikuwa level moja hata siku moja..Halafu hivi wewe unaakili gani kweli hapo yani lipi bora taasisi kubwa kama ubalozi kuwapa alert wananchi wake au kuwaacha kila mtu ajipambanie wakati wewe mwenyewe unasema unafuata maelekezo ya serikali ko unataka hata mmarekani afuate msimamo wa serikali ya tanzania

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sijui unaandika haya ukiwa wapi, inawezekana umejifungia ndani hujui chochote kinachotokea mtaa wa pili, kwa taarifa yako mkiendekeza hizi taarabu Corona itapokuja kupiga hapo sebuleni kwako ndio utapata akili, now unaisikia kwa majirani ndio maana unaleta utani, na usiombe iwatembelee ndani kwasababu haiondoki na mmoja.
mkuu una tumia hisia sana mpaka akili zako zimesimama.
kwahiyo marekani wakitoa tamko corona inaogopa ama vipi!!!!

ni kama sasa unahisi tamko la marekani ni silaha kamili dhidi ya ugonjwa huu.
 
Sasa ni wazi kua covid Tanzania inaua watu vibaya sana. Magufuli yeye bora watu waendelee kufa kuliko kuwaambia wachukue tahadhari za kisayansi, yeye anahimiza njia za kienyeji na za kishirikina za kujifukiza, kunywa pilipili, sijui kachumbari.

Ni mambo ya ajabu.
lakini watu mna ujinga mwingi mpaka mnachanganya. haaaaa!!!

kwahiyo kuvaa barakoa
kunawa mikono
kujiepusha na misongamano
na kutulia ndano

ni mpaka uambiwe na rais!
 
Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
You might be the next victim!! Let i pray for you dead man
 
Una stresss eeeee?!!
Basi kunywa maji ulale
Hovyo kuliko hovyo yenyewe
Afu mtu kama huyu anakuja kusema tumuombe Mungu atusaidie kwa ushabiki. Mtu wa Mungu anaweza kumjibu mtu hivi hata kama angekuwa kamkosea vipi? Now nimeelewa ulikuwa unamaanisha Mungu yupi.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kumuita binadam Beberu ni sawa. Huu si ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine. Ila ukiitwa nyani unaona si sawa. Binadam tuwe na adabu
 
tell american embassy that most of majority Tanzanians have no intention to go to Americav because America is not heaven
To Tanzania and Tanzanians USA may not be heaven but definitely as a country it is heavenly so it's not easy for earthly rural Sukumas to go there, for even famous cowboys of old are no more, afterall Kisukuma not spoken there. Chato is the limit for them!
 
Hawajawahi kuwa sawa na sisi usipotoshe wakisema africa hawamaanishi kila nchi kama hizi zetu ni nchi kama misri ethiopia ambazo mpaka bible inazitambua. Na kwa project za afya ambazo wamefanya na nyingne wakatufundisha huezi sema tulikuwa level moja hata siku moja..Halafu hivi wewe unaakili gani kweli hapo yani lipi bora taasisi kubwa kama ubalozi kuwapa alert wananchi wake au kuwaacha kila mtu ajipambanie wakati wewe mwenyewe unasema unafuata maelekezo ya serikali ko unataka hata mmarekani afuate msimamo wa serikali ya tanzania
Kwa hiyo walijikuta na hizo Teknolojia ghafla tuu 😅😅😅😅😅
Jitahidi utumie ubongo japo kidogo tuu
 
You might be the next victim!! Let i pray for you dead man
Hata wewe unaweza kuwa next victim, usijione kuwa na maisha ya milele, ajuaye ni Mungu
Tuchukue tahadhari na tumwombe Mungu
 
Afu mtu kama huyu anakuja kusema tumuombe Mungu atusaidie kwa ushabiki. Mtu wa Mungu anaweza kumjibu mtu hivi hata kama angekuwa kamkosea vipi? Now nimeelewa ulikuwa unamaanisha Mungu yupi.

Unajua huyo mtu ameaongea nini hadi awe wa hovyo au na wewe unadakia tuu kama kasuku?
Mungu hapangiwi na mtu anajua atende nini lini na wapi ni wewe tuu ujue kumwomba

Usiache kuchukua tahadhari
 
Are you sure that the respiratory complication pandemic will be overcome by wearing face mask, sanitizing, washing hands and getting vaccines to battle the variant strains?

You are absolutely wrong.

Has teh USA managed to humble down the outrageous disease? No and it will never outsmart it.

The USA and other allierespiratory droplet virusess have strived with all efforts and resources available to confront the respiratory droplet viruses to no success. The USA and its allies have blasphemed the living God by undermining his Mighty that the natural herbal steaming and spiritual healing beliefs were merely religious and superstious bigotry!!!!

God forbid, the USA and its allies shall reap the living God's wrath as it continues devouring the habitants lives.

Despite all the fox shouts look at the death trails in the USA as of today 10th February 2021

#Country,
Other
Total
Cases
New
Cases
Total
Deaths
New
Deaths
Total
Recovered
Active
Cases
Serious,
Critical
Tot Cases/
1M pop
Deaths/
1M pop
Total
Tests
Tests/
1M pop
Population
World107,639,175+241,2862,358,080+8,64379,688,15525,592,940102,00113,809302.5
1USA27,820,758+20,812480,723+95117,645,2049,694,83121,42583,7501,447327,421,542985,651332,187,983
Bila hizo measures walizochukua hali ingekua mbaya zaidi
 
Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Hata kama una kiwango kikubwa cha upumbavu kama chako jaribu hata kusimamisha upumbavu wako hata kwa dakika 3 na kutafakari uhalisia wa mambo kisha rudi kwenye upumbavu wako.
 
Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Hata kama una kiwango kikubwa cha upumbavu kama chako jaribu hata kusimamisha upumbavu wako hata kwa dakika 3 na kutafakari uhalisia wa mambo kisha rudi kwenye upumbavu wako.
 
Sijui unaandika haya ukiwa wapi, inawezekana umejifungia ndani hujui chochote kinachotokea mtaa wa pili, kwa taarifa yako mkiendekeza hizi taarabu Corona itapokuja kupiga hapo sebuleni kwako ndio utapata akili, now unaisikia kwa majirani ndio maana unaleta utani, na usiombe iwatembelee ndani kwasababu haiondoki na mmoja.
Tena hiko kijitu kikipata corona hakimalizi hata dk 10 kinakufa kwa jinsi kilivyodhoofu
 
Back
Top Bottom