GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Black Opal

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
304
Reaction score
545
Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari.

Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa kweli? Si watusaidie kufanya jambo baba Elon atupie kitu mtandao urudi shwaaaa😂😂

Waliopo maeneo ya Dar, Dodoma, Mbeya, Tunduma na Arusha yametajwa kama sehemu ambazo maandamano yameripotiwa kufanyika.

Screenshot_20251029_150555_Instagram.jpg
 
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umewataka wafanyakazi wa Ubalozi kubaki ndani kutokana na maandamano yanayoendelea Nchi nzima.

US Embassy Notice.jpg
 
Back
Top Bottom