airGrid
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 961
- 772
Kila lenye mwanzo lina mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila lenye mwanzo lina mwisho.
Safi sanaWa mwanza wakakusanyike mwanza wamerudishwa huko ,wa arusha wamerudishwa wakakusanyike arusha kila mtu akusanyike anapoishi .
Umenikumbusha Juan Orlando Hernández, rais wa zamani wa Honduras aliyefedheheka, amehukumiwa kifungo cha miaka 45 jela kwa kuwawezesha walanguzi wa dawa za kulevya kutumia jeshi lake la polisi na polisi wa taifa kusaidia kusafirisha toni za kokeini hadi Marekani.Usiwapuuze wala kuwabeza. Marekani wana nguvu kubwa Sana, wakiamua kwa dhati kabisa kufanya lolote Wala hakutakuwa na uwezo wa ndani wa kuweza kuwazuia. Wana mbinu nyingi sana za kuweza kutudhibiti sisi.
Kima! Mmeiga kila kitu kutoka kwao kuanzia muundo wa serikali yako na misaada mnapokea juu halafu unasema wasiwafundisheMarekani siyo wa kutufundisha sisi maana ya democrasia na utawala bora
Kule kwao kuna Project 2025 manifesto ya Trump. Isome uelewe. Pia Biden amekuwa akizungumzia Red Line ya Nyata Nyau. Ametekeleza?
Si kweliPolisi wa tz ni takataka
Marekani siyo wa kutufundisha sisi maana ya democrasia na utawala bora
Kule kwao kuna Project 2025 manifesto ya Trump. Isome uelewe. Pia Biden amekuwa akizungumzia Red Line ya Nyata Nyau. Ametekeleza?
Ukiwa maskini hauwezi kuwa huru.Sawa.....
Ila Tanzania ni HURU....inajiamulia mambo kivyake na kutanguliza vyake kama ambavyo Marekani inavyojiamulia mambo yake na kutotaka KUINGILIWA....
#Tanzania Kwanza[emoji7]
Ni majambazi wanaovaa uniformPolisi wa tz ni takataka
Kamala Harris analaumiwa kwa kusema watu wanaoingia nchini bila passport hawana makosa,Another crap comment from another crippled mind.
Wewe huwa unaendeshewa familia yako na aliyekuzidi kipato hapo mtaani kwako ?!!!Ukiwa maskini hauwezi kuwa huru.
Marekani wanatujua zaidi kuliko sisi tunavyowajua.
Mikopo baadaye huko huko kwaoSawa.....
Ila Tanzania ni HURU....inajiamulia mambo kivyake na kutanguliza vyake kama ambavyo Marekani inavyojiamulia mambo yake na kutotaka KUINGILIWA....
#Tanzania Kwanza[emoji7]
Naona uko chooniPolisi wa tz ni takataka
Kwa akili zao hata sintashangaaUVCCM watakuja na tamko la kutaka balozi wa Marekani afukuzwe nchini na Ubalozi wa Marekani ufungwe kabisa.
Magaidi wote ni waarabu kina allah wakbar sasa sijui nani mvunjifu wa amaniNaona wafadhili wa uvunjifu wa amani wanajitokeza.
Utumwa wa fikraMungu wabariki Wazungu