magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Kama mnajua wanafadhili uvunjifu wa amani na mnawajua kwanini hamuwachukulii hatua?Naona wafadhili wa uvunjifu wa amani wanajitokeza.
Umetumwa kuichafua Serikali ewe Lumumba Buku 7?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mnajua wanafadhili uvunjifu wa amani na mnawajua kwanini hamuwachukulii hatua?Naona wafadhili wa uvunjifu wa amani wanajitokeza.
Sijaelewa mkuu iwe Project 2025 manifesto kufsnyaje sijui inahusisha kupiga Wapinzani na kuwasweka rumande kama huku kwetu?Marekani siyo wa kutufundisha sisi maana ya democrasia na utawala bora
Kule kwao kuna Project 2025 manifesto ya Trump. Isome uelewe. Pia Biden amekuwa akizungumzia Red Line ya Nyata Nyau. Ametekeleza?
Tunapenda sana kujadili matokeo kuloko chanzo. Kosa la CHADEMA ni lipi? Na kama wanamakosa kwanini wameachiwa bila masharti yoyote?Ubalozi wa Marekani pamoja na CCM hawataki kabisa uonevu, ndio maana Katibu Mkuu wa CCM jana alitoa maagizo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, awaachie hao wapinzani, CCM haipendi kabisa uonevu na inachukizwa sana kuona mtu au Chama au taasisi yoyote nchini kuonewa kwa namna yoyote ile..!!
On other side of story..!! 👇
Ila nao CHADEMA, waache kiherehere, watii sheria bila shuruti, mambo ya kuwatishia Polisi wanatoa wapi? Wahuni tu wamekutana, hakuna Chama ? CHADEMA
Embu eleza ni uvunjifu upi wa amani ulifanyikaNaona wafadhili wa uvunjifu wa amani wanajitokeza.
Uko sawa bro???Kamala Harris analaumiwa kwa kusema watu wanaoingia nchini bila passport hawana makosa,
Wanastahili health care..
Wanastahili kupata education.
Huo ndio ukatili wa Marekani.
Wamarekani wanayatazama matendo yetu na prism hiyo .
Mtu kateswa na Polisi,katamka,"Tufanye maandamano kama Kenya"
Yaani,hiyo ndiyo imekuwa chanzo cha fracas yote hii
Sasa unadhani mtu akiteswa na polisi ataongea vipi?
Mtu yeyote anaweza kusema 'Kesho nitaipindua Serikali "
Lakini kabla kuona threat ni lazima u- assess uwezo wa yule mtu.
Inakuwaje umemuona paka unasema umemuona chui?
Tufanye maandamano kama Kenya maana yake wakifafanya maandamano whether violent or peaceful,watakuwa wamefanya maandamano kama Kenya: kwa sababu Kenya walifanya maandamano na wao wamefanya maandamano.
Kitu wanachopinga,kwa mfano,Ubalozi wa Marekani,ni mtu chawa kuzuia maandamano kwa kudhania ndio anampendeza bosi wake aliyempa kazi.
Hutosikia hata panya akikohoa.UVCCM watakuja na tamko la kutaka balozi wa Marekani afukuzwe nchini na Ubalozi wa Marekani ufungwe kabisa.