Pre GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona wafadhili wa uvunjifu wa amani wanajitokeza.
Kama mnajua wanafadhili uvunjifu wa amani na mnawajua kwanini hamuwachukulii hatua?

Umetumwa kuichafua Serikali ewe Lumumba Buku 7?
 
Marekani siyo wa kutufundisha sisi maana ya democrasia na utawala bora
Kule kwao kuna Project 2025 manifesto ya Trump. Isome uelewe. Pia Biden amekuwa akizungumzia Red Line ya Nyata Nyau. Ametekeleza?
Sijaelewa mkuu iwe Project 2025 manifesto kufsnyaje sijui inahusisha kupiga Wapinzani na kuwasweka rumande kama huku kwetu?
 
Tunapenda sana kujadili matokeo kuloko chanzo. Kosa la CHADEMA ni lipi? Na kama wanamakosa kwanini wameachiwa bila masharti yoyote?
 
Hivi ni kwa nini sisi hatutoi tamko kuhusu marekani kuunga mkono na kusaidia genocide (mauaji ya kimbali) yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapelestina? Tunaogopa nini?
Marekani ni taifa la wauaji, na wapenda kumwaga damu za binadamu duniani kote. Wanaanzisha vita ili damu za watu zimwagike na shetani anayewaongoza afurahi. Kwa nini sisi hatutoi matamko ya kuonyesha misimamo yetu? Hivi guts zetu tumepotezea wapi? Enzi za mwalimu tulikuwa tunaweza kusimama na kuwaambia hawa mabeberu "you're wrong"; kwa nini sasa hivi hatuwezi?
 
Huko USA Ndipo hadi wanataka kumuua mgombea Urais
 
Uko sawa bro???

Umezunguka sana kwenye hii post…. What is your point?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…