Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania umetoa tamko au maelezo ya kina au ufafanuzi wa kukanusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu mitandaoni.
Ambao wana lengo la kuchafua mahusiano mazuri na ya muda mrefu na yaliyoleta na kuzaa matokeo Chanya kati ya mataifa haya mawili.
Taarifa yenyewe ni hii hapa chini. imeandikwa kwa kiingereza . Kwa hiyo wewe kama hujui kiingereza ni bora upite kimya kimya kuliko kujifanya unaleta ujuaji wako wakati hujui kilichoandikwa.
Lakini pia kama kiingereza chako ni cha The The zisi iz au cha kukariri kariri ni bora pia na wewe ukatulia vizuri kabla ya kuanza kutoa maoni yako halafu ukaonekana kituko tu hapa.
Matusi hayahitajiki katika Taarifa hii maana hakuna taarifa ilipotoa matusi. Kwa hiyo mtu ukianza matusi hapa itakuwa ni dalili ya kutoelewa kilichoandikwa hapa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.