Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni

Ndugu zangu Watanzania,

Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania umetoa tamko au maelezo ya kina au ufafanuzi wa kukanusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu mitandaoni.

Ambao wana lengo la kuchafua mahusiano mazuri na ya muda mrefu na yaliyoleta na kuzaa matokeo Chanya kati ya mataifa haya mawili.

Taarifa yenyewe ni hii hapa chini. imeandikwa kwa kiingereza . Kwa hiyo wewe kama hujui kiingereza ni bora upite kimya kimya kuliko kujifanya unaleta ujuaji wako wakati hujui kilichoandikwa.

Lakini pia kama kiingereza chako ni cha The The zisi iz au cha kukariri kariri ni bora pia na wewe ukatulia vizuri kabla ya kuanza kutoa maoni yako halafu ukaonekana kituko tu hapa.

Matusi hayahitajiki katika Taarifa hii maana hakuna taarifa ilipotoa matusi. Kwa hiyo mtu ukianza matusi hapa itakuwa ni dalili ya kutoelewa kilichoandikwa hapa.View attachment 3235781

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
This Press release from Saudi Arabia Embassy in Tanzania is completely rubbish.

Ofisi za Ubalozi zipo Tanzania, Balozi mwenyewe yupo Tanzania na nchi ya Tanzania pia ina Viongozi wake wengi tu ambao wapo ndani ya nchi hii ya Tanzania, kwa Nini huyo Balozi wa Saudi Arabia atoe taarifa ya Utawala wa nchi hii wakati wenyewe Wahusika wenye Mamlaka yote kabisa ya kufanya hivyo wapo? Wasemaji wa Serikali ya Tanzania wako wapi hasa hadi huyo Balozi wa Saudi Arabia atoe taarifa za Nchi hii kwa niaba yao? Huyo Balozi wa Saudi Arabia amekuwa Msemaji wa Serikali ya Tanzania?
 
Kwani Balozi wa Marekani aliyekuwa akitolea matamko hapa Nchini unafikiri alikuwa hajui kuwa kuna hayupo ni Marekani? Je unaweza kuniambia taarifa hiyo ya Balozi imevunja sheria ipi ya nchi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania umetoa tamko au maelezo ya kina au ufafanuzi wa kukanusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu mitandaoni.

Ambao wana lengo la kuchafua mahusiano mazuri na ya muda mrefu na yaliyoleta na kuzaa matokeo Chanya kati ya mataifa haya mawili.

Taarifa yenyewe ni hii hapa chini. imeandikwa kwa kiingereza . Kwa hiyo wewe kama hujui kiingereza ni bora upite kimya kimya kuliko kujifanya unaleta ujuaji wako wakati hujui kilichoandikwa.

Lakini pia kama kiingereza chako ni cha The The zisi iz au cha kukariri kariri ni bora pia na wewe ukatulia vizuri kabla ya kuanza kutoa maoni yako halafu ukaonekana kituko tu hapa.

Matusi hayahitajiki katika Taarifa hii maana hakuna taarifa ilipotoa matusi. Kwa hiyo mtu ukianza matusi hapa itakuwa ni dalili ya kutoelewa kilichoandikwa hapa.View attachment 3235781

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

AIBU YA TAIFA LA TANZANIA

Ni aibu pande la eneo la Tanganyika linachukuliwa bila uongozi wa juu kabisa wa serikali ya Tanzania kutoa taarifa, yaani nchi inategemea ubalozi wa kigeni kutoa taarifa kwa umma wa waTanzania

Uwazi wa serikali ya Kenya, na rais wa Jamhuri ya Kenya anawajibika kwa kuwepo katika mikataba nyeti ya kitaifa mwenyewe na katika hali ya uwazi:

11 February 2025​

Rais Ruto afanya mkutano na Ujumbe wa Biashara kutoka Shirikisho la Vyama vya Biashara vya Saudia

View: https://m.youtube.com/watch?v=tWrNQRQZK0I

Nairobi, Februari 11, 2025, SPA --

Rais wa Jamhuri ya Kenya Dkt. William Ruto leo amempokea Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyabiashara wa Saudia Hassan Alhwaizy na ujumbe alioandamana nao wa wawekezaji 25 wa Saudia na wawakilishi wa serikali katika mji mkuu, Nairobi.

Rais Ruto alieleza utayarifu wa Kenya kutoa msaada kamili na uwezo kwa wawekezaji wa Saudia, akibainisha kuwa makubaliano kati ya shirikisho la Saudia na Chemba ya Kitaifa ya Biashara na Viwanda ya Kenya yatarahisisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo mbili.

Alhwaizy alisema kuwa majadiliano yalihusu fursa za uwekezaji katika sekta ya kilimo nchini Kenya, maendeleo ya mali isiyohamishika, na uagizaji wa nyama nchini Ufalme, pamoja na kuanzishwa kwa eneo huria nchini Kenya kwa mauzo ya Saudia kwenda Afrika Mashariki.

More info :

Nairobi, Februari 11, 2025, SPA -- Wajumbe kutoka Shirikisho la Vyama vya Wafanyabiashara wa Saudi walikutana leo na maafisa mbalimbali kutoka Jamhuri ya Kenya kama sehemu ya ziara iliyolenga kubainisha maeneo ya uwekezaji na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara.

Maafisa hao wa serikali ya Kenya waliwaalika wawekezaji wa Saudi kutafuta fursa katika Bandari mpya ya Lamu, mradi ambao serikali ya Kenya inaendeleza.

Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Wizara ya Uwekezaji nchini Kenya Bw. Lee Kinyanjui, aliangazia fursa za kuvutia zinazopatikana kwa wawekezaji wa Saudi katika sekta muhimu kama vile kilimo, mifugo na bandari.

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyabiashara wa Saudi Hassan Alhwaizy alisema kuwa makubaliano yamefanywa kuweka eneo huru nchini Kenya kwa mauzo ya Saudia katika ukanda wa Afrika Mashariki na kurahisisha uagizaji wa nyama ya Kenya nchini Saudi Arabia.

Zaidi ya hayo, pande zote mbili zilikubaliana kuanzisha utaratibu wa kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kwa kubadilishana habari kuhusu fursa za uwekezaji na kukuza bidhaa za Saudia katika soko la Kenya.

Wakati huo huo, Balozi wa Saudi nchini Kenya, Khalid bin Abdullah Al-Salman, alitangaza kuwa Wiki ya Kenya itafanyika Riyadh na Jeddah mwezi Aprili 2025, na ikishirikisha makampuni 120 za Kenya
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania umetoa tamko au maelezo ya kina au ufafanuzi wa kukanusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu mitandaoni.

Ambao wana lengo la kuchafua mahusiano mazuri na ya muda mrefu na yaliyoleta na kuzaa matokeo Chanya kati ya mataifa haya mawili.

Taarifa yenyewe ni hii hapa chini. imeandikwa kwa kiingereza . Kwa hiyo wewe kama hujui kiingereza ni bora upite kimya kimya kuliko kujifanya unaleta ujuaji wako wakati hujui kilichoandikwa.

Lakini pia kama kiingereza chako ni cha The The zisi iz au cha kukariri kariri ni bora pia na wewe ukatulia vizuri kabla ya kuanza kutoa maoni yako halafu ukaonekana kituko tu hapa.

Matusi hayahitajiki katika Taarifa hii maana hakuna taarifa ilipotoa matusi. Kwa hiyo mtu ukianza matusi hapa itakuwa ni dalili ya kutoelewa kilichoandikwa hapa.View attachment 3235781

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tarehe 25 Feb Mbona haijafika bado? Hili kanusho ni la kubumba
 
Feb 25-2025 Kuna kitu hakipo sawa
 
This Press release from Saudi Arabia Embassy in Tanzania is completely rubbish.

Ofisi za Ubalozi zipo Tanzania, Balozi mwenyewe yupo Tanzania na nchi ya Tanzania pia ina Viongozi wake wengi tu ambao wapo ndani ya nchi hii ya Tanzania, kwa Nini huyo Balozi wa Saudi Arabia atoe taarifa ya Utawala wa nchi hii wakati wenyewe Wahusika wenye Mamlaka yote kabisa ya kufanya hivyo wapo? Wasemaji wa Serikali ya Tanzania wako wapi hasa hadi huyo Balozi wa Saudi Arabia atoe taarifa za Nchi hii kwa niaba yao? Huyo Balozi wa Saudi Arabia amekuwa Msemaji wa Serikali ya Tanzania?
Mkuu,

Huoni kwamba, kama kweli hii barua ni legit, future date notwithstanding, balozi wa Saudi Arabia katoa taarifa kwa niaba ya serikali ya Saudi Arabia na kama mnahitaji taarifa kutoka serikali ya Tanzania, basi ishikeni serikali ya Tanzania nayo itoe tamko?

Unaulaumu vipi ubalozi wa Saudi Arabia kwa kutoa tamko kwa niaba ya serikali ya Saudi Arabia?

How can you call this release rubbish because Tanzania did not issue its own press release?

Ubalozi wa Saudi Arabia umemaliza kutoa habari za upande wake, unasemaje hii release ni rubbish kwa sababu upande wa Tanzania haujatoa press release?
 
Ni aibu pande la eneo la Tanganyika linachukuliwa bila uongozi wa juu kabisa wa serikali ya Tanzania kutoa taarifa, yaani nchi inategemea ubalozi wa kigeni kutoa taarifa kwa umma wa waTanzania

Rais Paul Kagame kama Rais William S. Ruto wachukua majukumu yao kama mabalozi namba moja kukutana na wawekezaji wakubwa ili kuelewa mustakhabali wa ziara ya ujumbe mzito toka Saudi Arabia

13 February 2025
Kigali, Rwanda

Rais Kagame anakutana na ujumbe kutoka Shirikisho la Vyama vya Wafanyabiashara vya Saudia

View: https://m.youtube.com/watch?v=gR-ocKrnRDE
 
13 February 2025
Kigali, Rwanda

Rwanda, Saudi Arabia Zaingia Mkataba wa Biashara na Uwekezaji​

iliyoandikwa na Daniel Sabiiti Februari 13, 20256:26 jioni

Pk-saudi.jpg
Rwanda na Saudi Arabia zimepiga hatua kubwa kuelekea kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kwa kutia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kuhusu ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji.

Mkataba huo uliotiwa saini siku ya Alhamisi tarehe 13 February 2025, unaashiria mwanzo wa kuimarishwa kwa uhusiano wa kibiashara unaohusisha sekta mbalimbali, zikiwemo za kilimo, madini na ujenzi.

Ujumbe wa Saudia, unaojumuisha wawekezaji 25 wakuu na wawakilishi wa serikali, uliwasili Rwanda kama sehemu ya ujumbe wa kibiashara wa Afrika unaojumuisha mashirikiano nchini Kenya na Tanzania.

Ziara hiyo inasisitiza nia ya Saudi Arabia katika kupanua fursa za uwekezaji katika bara zima la Afrika.

1x.jpg
Kama sehemu ya ziara hiyo, Kongamano la Biashara la Rwanda-Saudi lilifanyika Kigali, na kutoa jukwaa la vikao vya mitandao ya biashara-kwa-biashara (B2B).

Wawekezaji na viongozi wa biashara kutoka mataifa yote mawili waligundua ushirikiano unaowezekana katika maeneo muhimu ya uwekezaji kama vile madini, biashara na biashara, ujenzi, vifaa, kilimo na utalii. Sekta hizi zinawiana na Mkakati wa Kitaifa wa Mabadiliko wa Rwanda (NST2) unaojumuisha kipindi cha kuanzia 2024 hadi 2029.

Jeanne-Françoise Mubiligi, Mwenyekiti wa Shirikisho la Sekta Binafsi la Rwanda (PSF), alisisitiza umuhimu wa ushirikiano huo, akiuelezea kama wakati muhimu katika uhusiano wa Rwanda na Saudi Arabia.

"Ushirikiano kati ya Saudi Arabia na Rwanda una mguso mkubwa, na ni ushahidi wa maono yetu ya pamoja ya maendeleo. Leo, tunaposhiriki katika majadiliano, kubadilishana mawazo, na kutafuta fursa, nina imani kwamba tutajenga msingi wa ushirikiano wa muda mrefu ambao unaonufaisha mataifa yetu yote mawili,” Mubiligi alisema.

smilo.jpg
Mubiligi alisisitiza zaidi dhamira ya Rwanda katika kuwezesha wawekezaji wa Saudia kuingia katika soko la ndani kupitia vivutio vya kodi, upatikanaji wa masoko ya kikanda kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki, na kuongezeka kwa wafanyakazi wenye ujuzi, na kuifanya Rwanda kuwa kivutio cha ushindani cha uwekezaji.

Waleed Alorainan, Katibu Mkuu (SG) wa Baraza la Saudia, alibainisha mazingira rafiki ya kibiashara ya Rwanda, akitolea mfano wa michakato iliyoboreshwa ya nchi hiyo na mfumo wa muundo wa maendeleo ya kiuchumi. Alielezea kujitolea kwa Saudi Arabia kuongeza uwekezaji nchini Rwanda zaidi ya dola bilioni 8 za sasa zilizorekodiwa katika muongo mmoja uliopita.

"Kufuatia kusainiwa kwa MoU na kuanzishwa kwa miunganisho ya biashara, hatua inayofuata ni kuhakikisha utekelezaji unaoonekana wa mipango iliyokubaliwa, na kuleta manufaa ya pande zote kwa mataifa yote mawili," Alorainan alisema.
1-scaled.jpg

Kabla ya kuhitimisha ziara yao, wajumbe wa Saudi walikutana na mheshimiwa Rais Paul Kagame katika Kijiji cha Urugwiro. Majadiliano hayo yalilenga katika kupanua fursa za uwekezaji ndani ya mfumo wa ushirikiano uliopo kati ya Rwanda na Saudi Arabia.

Uhusiano wa kidiplomasia kati ya mataifa hayo mawili ulianzishwa rasmi mwaka wa 2018 kupitia makubaliano ya ushirikiano. Licha ya tofauti za maliasili, nchi hizo mbili zimedumisha ushiriki wa kibiashara wenye tija, ikiwa ni pamoja na biashara ya mafuta na ushirikiano mbalimbali wa kiuchumi.

Rwanda na Saudi Arabia pia zimeendeleza uhusiano mkubwa katika sekta kama vile afya, elimu, nishati na maendeleo ya miundombinu. Fursa za ziada za ushirikiano zipo katika teknolojia, huduma za kifedha, utalii na biashara.

Mnamo 2021, Makubaliano ya Jumla ya Ushirikiano yalitiwa saini, na kuimarisha uhusiano wa nchi mbili. Tokeo moja mashuhuri la ushirikiano huu lilikuwa mkopo wa maendeleo wa masharti nafuu wa dola milioni 20 uliotolewa na Mfuko wa Maendeleo wa Saudia (SFD) mwaka wa 2023 ili kufadhili mradi wa kusambaza umeme katika Wilaya ya Kamonyi nchini Rwanda.

Makubaliano ya hivi punde yanatarajiwa kufungua njia mpya za ushirikiano wa kiuchumi, na kuimarisha nafasi ya Rwanda kama kitovu cha kimkakati cha uwekezaji katika kanda na kukuza ustawi wa muda mrefu kwa mataifa yote mawili.
cow.jpg

Gjq0E06WIAA-5NY.jpg

Gjq0E07X0AEUlrB.jpg

Gjqa36vWYAAkN4c-scaled.jpg

8be1d2d3-2139-4222-ac4c-efe3a16b2ba9.jpg

Gjq0E05WkAAWfjN.jpg

5b5b323d-c97f-416e-91ac-8757e4ec8588.jpg

aall.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania umetoa tamko au maelezo ya kina au ufafanuzi wa kukanusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu mitandaoni.

Ambao wana lengo la kuchafua mahusiano mazuri na ya muda mrefu na yaliyoleta na kuzaa matokeo Chanya kati ya mataifa haya mawili.

Taarifa yenyewe ni hii hapa chini. imeandikwa kwa kiingereza . Kwa hiyo wewe kama hujui kiingereza ni bora upite kimya kimya kuliko kujifanya unaleta ujuaji wako wakati hujui kilichoandikwa.

Lakini pia kama kiingereza chako ni cha The The zisi iz au cha kukariri kariri ni bora pia na wewe ukatulia vizuri kabla ya kuanza kutoa maoni yako halafu ukaonekana kituko tu hapa.

Matusi hayahitajiki katika Taarifa hii maana hakuna taarifa ilipotoa matusi. Kwa hiyo mtu ukianza matusi hapa itakuwa ni dalili ya kutoelewa kilichoandikwa hapa.View attachment 3235781

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
mbona ule mkataba hawakuwai kutoka na kutolea ufafanuz au hawakwepo ofisini ?
 
Sisi ziara ya Chamber ya Wafanyabiashara kutoka Saudi Arabia wamepewa pande la nchi ya Tanganyika iliyopo ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wenzetu nchi za Zanzibar, Kenya na Rwanda ziara ya Chamber ya Wafanyabiashara kutoka Saudia imeanisha mambo mengi, wakati sisi Tanzania bara (Tanganyika) tumegawa bandari.
 
13 February 2025
Unguja Zanzibar,
Tanzania

Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania na Zanzibar

View: https://m.youtube.com/watch?v=M0oksDu6e44

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Zanzibar bado ina fursa nyingi za uwekezaji katika sekta mbali mbali ikiwemo utalii, uchumi wa bluu, kilimo, mafuta na gesi pamoja na miundombinu.

Dk Hussein Ali Mwinyi aliyasema hayo mjini Zanzibar mara baada ya kuupokea ujumbe wa wawekezaji 30 kutoka Saudia Arabia waliofanya ziara maalum nchini humo kwa lengo la kutambua maeneo ya ushirikiano, uwekezaji na biashara.

Aidha mheshimiwa Rais Dr. Hussein Mwinyi alisema ziara hiyo itafungua ukurasa mpya wa ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
 
Ofisi za Ubalozi zipo Tanzania, Balozi mwenyewe yupo Tanzania na nchi ya Tanzania pia ina Viongozi wake wengi tu ambao wapo ndani ya nchi hii ya Tanzania, kwa Nini huyo Balozi wa Saudi Arabia atoe taarifa ya Utawala wa nchi hii wakati wenyewe Wahusika wenye Mamlaka yote kabisa ya kufanya hivyo wapo? Wasemaji wa Serikali ya Tanzania wako wapi hasa hadi huyo Balozi wa Saudi Arabia atoe taarifa za Nchi hii kwa niaba yao? Huyo Balozi wa Saudi Arabia amekuwa Msemaji wa Serikali ya Tanzania?

Balozi namba moja Mheshimiwa Rais yupo, waziri wa uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo yupo, msemaji mkuu Gerson Msigwa yupo lakini wamekaa kimya ubalozi wa kigeni ndiyo unatoa 'ufafanuzi '.

Cheki profesa Kitila Mkumbo kajificha nyuma ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania THA

1739491603380.jpeg

1739491720344.jpeg
 
Mahojiano ya 14 December 2023 na mheshimiwa balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mh. Ali Jabir Mwadini aliyehudumu 2019 - 2023

View: https://m.youtube.com/watch?v=ykakTE-UqIs

DIRA YA TAIFA :

Nishati, Maendeleo ya kidigitali na usafirishaji kuchochea maendeleo ya dira 2050​

Nishati, Maendeleo ya kidigitali na usafirishaji kuchochea maendeleo ya dira 2050

  • by Godluck Mwanga
  • December 11, 2024 10:50
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amesema Dira ya maendeleo ya Taifa 2050 itatia mkazo zaidi kwenye Usafirishaji fungamanishi, Sayansi na Teknolojia, Utafiti na maendeleo, Mageuzi ya kidigitali pamoja na uimarishaji wa sekta ya Nishati ili kuhakikisha kuwa mambo hayo yanachochea Tija na ufanisi katika kufikiwa kwa malengo ya dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050.
Akiwa Kisiwani Zanzibar leo Jumatano Disemba 11, 2024 Wakati wa uzinduzi wa Rasimu ya Kwanza ya Dira 2050, Waziri Profesa Mkumbo amesema Vichocheo hivyo vina nafasi kubwa ya kuchochea kasi kwenye utekelezaji wa malengo mengine katika kuhakikisha kuwa dira 2050 inatekelezeka kikamilifu ndani ya muda wa miaka 25 ijayo.
Akizungumzia muundo wa Rasimu hiyo iliyozinduliwa leo, Prof. Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, Dira hiyo itaongozwa na msingi Mkuu wa Utawala, Amani, Usalama na Utulivu kwakuwa mambo hayo ndio msingi na kivutio kikuu cha maendeleo kote duniani hasa katika uwekezaji, ustawi na maendeleo kwa ujumla wake.
1739493358403.jpeg

Aidha Waziri Kitila Mkumbo katika uzinduzi wa Rasimu hiyo ya kwanza ya Dira 2050 amesema nguzo za Dira 2050 zitakuwa ni Uchumi imara jumuishi na shindani, Uwezo wa watu na maendeleo ya jamii, Uhifadhi wa mazingira na ustahimilivu wa mabadiliko ya tabianchi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania umetoa tamko au maelezo ya kina au ufafanuzi wa kukanusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu mitandaoni.

Ambao wana lengo la kuchafua mahusiano mazuri na ya muda mrefu na yaliyoleta na kuzaa matokeo Chanya kati ya mataifa haya mawili.

Taarifa yenyewe ni hii hapa chini. imeandikwa kwa kiingereza . Kwa hiyo wewe kama hujui kiingereza ni bora upite kimya kimya kuliko kujifanya unaleta ujuaji wako wakati hujui kilichoandikwa.

Lakini pia kama kiingereza chako ni cha The The zisi iz au cha kukariri kariri ni bora pia na wewe ukatulia vizuri kabla ya kuanza kutoa maoni yako halafu ukaonekana kituko tu hapa.

Matusi hayahitajiki katika Taarifa hii maana hakuna taarifa ilipotoa matusi. Kwa hiyo mtu ukianza matusi hapa itakuwa ni dalili ya kutoelewa kilichoandikwa hapa.View attachment 3235781

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Taarifa kwa ummma!
 
Unapojaribu ku edit , kumbuka kurekebisha tarehe kenge. usipotoshe watu hapa. Ubaloz unaandikaje barua in the future ta tarehe haijafika? punguza kukurupuka
 
Back
Top Bottom