Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni

 
Leo ndio nimeprove kwamba Lucas Mwashambwa ni kidagaa tu kielimu, ni kilaza pro max.
Nimempa taarifa hii aisome. Waarabu na wezi wa Tanzania wameona utaleta shida kama DP world wameamua kukubaliana kuupindisha ukweli jinsi ulivyo!
Waarabu walifurahia na ikatangazea rasmi huko kwao! Hizi kunguni za hapa zimakazana kukanusha sababu uchaguzi umekaribia!

Haya hii hapa media iliyoalikwa huko na ikatoa taarfifa hii
 
Saudi Arabia imekanusha uzushi huo kabisa. Embu angalia humu humu jukwaani kuna video ipo kabisa. Achana na huo udaku wa magazeti ya kufungia tumbaku.
 
kwanza tarehe ya huo waraka imekosewa ni tar 25 mwez wa pili 2025 ili hali hiyo tarehe hatujafika taarifa ni yakizwazwa hamjui mnalo lifanya hata mkataba ninaimani haukusomwa mliambiwa saini tena saini hapa
 
Mbona ubaloz wameandika kama Wana povu la hasira na kupaniki shida nn?? Au wameguswa panapo
 
Taarifa ya tarehe 25 February 🤣🤣🤣
 
Tarehe 25/02/2025 haijafika.
 
Hii barua imeandikwa tarehe 25/2/2025 hapo wamechemka "kweri kweri". UVCCM wanapambana kushona kiraka. Hili taifa limekuwa chaka la wanyang'anyi (robbers) hakuna kitu kitabaki hapa.
Watatujengea uwanja na kutulipia ticketi za Derby ya kariakoo na Taifa Stars. Vitu vyepesi si ndiyo tunapenda
 
Lukas Mwashambwa hajui kusoma kiingereza, itabidi atafutiwe mkalimani ili amsaidie kuelewa hiyo taarifa inasema nini hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…