Ndugu, unampigia panzi kitaa ukitegemea atacheza tune ya muziki huo....
Haelewi huyo. Huyu jamaa au sijui ni bibie (
Lucas Mwashambwa)ndiye "chawa mkuu wa huyo mama yao...
Watu wanajiita "Chawa" na kujigamba hivyo kuwa wao ni "chawa" tu inawezekana vipi wakawa binadamu kamili wenye uelewa aisee...?
Huyo jamaa
Lucas Mwashambwa anaweza kuja na fulscap kadhaa za isha hapa akituaminisha kuwa vinyesi walivyojisaidia bwana zake huko CCM ni mikate toka Singapore. Ukimwambia hayo ni mavi sio mkate, atabaki kukushangaa na kukuzodoa tu...
Huyo ndiye chawa mkuu
Lucas Mwashambwa alivyo. Fuatilia majibu yake ya hoja zetu humu, utagundua kuwa, hilo jamaa ni roboti fulani lisilofikiri wala kuwaza kama binadamu...