Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar, fursa ya Kombe la Dunia 2022 hiyo inakuja

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
Good afternoon jamiiforums

Ndugu zangu mnaofanya kazi ubalozi wa Tanzania huko mjini Doha nchini Qatar, kombe la dunia la mwaka 2022 lipo njiani linakuja, tunaomba mjipange hata kama budget ni finyi fanyeni kile kidogo kilicho ndani ya uwezo wetu.

SEPTEMBER, 2018 - JPM: "Mabalozi sasa watakuwa wanaleta ripoti, kwamba kwa kipindi nilichoteuliwa nimeifanyia Tanzania A, B, C. Kama mtu miezi sita atakuwa hajafanya chochote, ameenda tu kunywa wine, ajiandae kurudi"

SWALI: Wadau, tutumie njia gani katika kuitangaza vema Tanzania kupitia fursa ya kombe la dunia la 2022 huko nchini Qatar?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Fursa ya watu kupiga hela hyo,sijui waTZ hua tunawazaga nn.
Yani wazo linawezekana likawa zuri lakini tumbo likawa na njaa,utaskia kutathmini na kupitisha jambo hilo vikao na semina imeliwa 1.4bill.
Baada ya mkakati kupita watu wanalamba 10% yao
 
Mkuu wanaccm wako 20m kwa mujibu wa taarifa za kupika, mkiwa kwenye vikao huko shaurianeni nini mfanye kwenye fursa ya hilo kombe la dunia. Wapinzani watawachelewesha.
Tanzania ni mali ya watu wote bila kujali kama yupo CCM au CHADEMA
 
Fursa ya watu kupiga hela hyo,sijui waTZ hua tunawazaga nn.
Yani wazo linawezekana likawa zuri lakini tumbo likawa na njaa,utaskia kutathmini na kupitisha jambo hilo vikao na semina imeliwa 1.4bill.
Baada ya mkakati kupita watu wanalamba 10% yao
Rais Samia anapambana na mafisadi
 
Fursa ya watu kupiga hela hyo,sijui waTZ hua tunawazaga nn.
Yani wazo linawezekana likawa zuri lakini tumbo likawa na njaa,utaskia kutathmini na kupitisha jambo hilo vikao na semina imeliwa 1.4bill.
Baada ya mkakati kupita watu wanalamba 10% yao
Daaah noma sana mzee baba
 
Unataka utangaze nini kuhusu Tanzania?
Utalii, Uwekezaji, Kilimo , Madini au kitu gani hasa?
Washindani wetu wakubwa ni nani hasa katika hilo jambo?
 
Unataka utangaze nini kuhusu Tanzania?
Utalii, Uwekezaji, Kilimo , Madini au kitu gani hasa?
Washindani wetu wakubwa ni nani hasa katika hilo jambo?
Wataalam wapo huko wizarani wanajua vema ila mimi nimefanya kuwakumbusha tu.
 
Especially kwenye food industry na mifugo. Ila kama nchi huwa hatuna mikakati ya pamoja. Tuko busy kurogana sababu ya siasa
 
Especially kwenye food industry na mifugo. Ila kama nchi huwa hatuna mikakati ya pamoja. Tuko busy kurogana sababu ya siasa
Bado kuna wanasiasa/wataalam wanamini katika ushirikina karne hii ya 21?
Wapo wengi tu. hatuangaishi vichwa kwa kufikiria majawabu ya changamoto zetu. Tunasubiri miujiza kwa manabii na waganga wa kienyeji
 
Kifo cha TB Joshua kimekuwa pigo kubwa sana kwa wapenda miujiza wa Tanzania.
 
Mkuu watanzania na hao mabalozi wamelala wanasubiri Mungu arudi kuwapa mipango ya maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…